Freeman Mbowe: Walipandikiza kwa NCCR Wakafanikiwa, TLP wakafanikiwa; wakapandikiza CUF kwa CHADEMA Wamekwama sasa wana hasira

Umeanza na uongo wa aya ya pili, eti kwenye maisha haitakiwi kuiga njia za mafanikio ya nwenzako. Hapo tu nikakuona kuwa huna unalolijua.
Kwamba mie nmetajirika kupitia uchimbaji wa madini na wewe uanze kuchimba madini utatajirika??? Ndo unanipinga???
Nmepata utajiri kwa kufanya biashara ndogo ndogo nawewe ni fundi nguo au umeme uache kazi yako uje uungane na mimi utajirike???? My dear hizi GPA za 32 hiiiiiziiii but nmekusoma ila hujajibu hoja yang ya msingi hata kama nimeingia chaka hapoooo ungejibu hoja yang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe ni mkwamishaji wa upinzani wa ukweli nchini,
Kuna vyama vingapi vya upinzani nchini Tanzania?Kati ya hivyo ni vingapi vyenye wabunge?Kwanini ni vyama vitatu tu ndiyo vyenye wabunge?Kwanini chadema kinawabunge wengi?Sasa mbowe anakwamisha vipi upinzani wa kweli?Kwani Mbowe ndiyo mwenyekiti wa vyama vyote?Ni dhahiri wewe ni shabiki wa ccm na si mchambuzi,maana uchambuzi ni kazi ngumu kuliko ushabiki.
 
Aaa.. Wapi!!! chama ulikiuza mwenyewe kwa mzee Lowassa kwa 7B taslimu na fedha umeenda kuzichimbia Dubai.

Bila hata ya kulipa angalao kodi.
Kama una hakika wa uachosema, ni kwanini basi hamumburuzi kule kwenye Mahakama ya mafisadi??

Nyiye magamba, kwa kutumia propaganda hii, hakika mmekwama!
 
Wengine woote ni mapandikizi isipokuwa yeye..

Tukiwaambia hii ni saccos hamtaki kuamini..
 
Honorable Mbowe the problem is within Chadema leadership ! Kubali hili na kuchukua hatua before it is too late ! Watanzania wengi bado wanaikubali Chadema na hasa vijana kama a challenger to CCM, sasa hii hali ya kutokubali kubadilika na hasa kuleta sura mpya uongozi wa juu slowly but steadly is erroding members loyalty to this biggest opposition party.

Wanaohama chadema sasa wanavurumisha mawe walikotoka na mbaya zaidi wanatoa siri za kimkakati za chama chenu kwenda waliko hamia ! This will harm the party ! No need to cling to power because no one is indispensable in such a big organisation, it can survise even without Mbowe and Mashingi ! Tambua hili na muache kulia lia, chukua hatua before the party completely collapses.
 
Mfa maji haachi kutapa tapa badala ya kutafuta solution chama kinaangamia anaanza kuilaum CUF.Huyu jamaa nlikua namuona ni mtu hodari kwa hoja kumbe ana akili kisoda sana

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Wanaotaka kukiangamiza chama hawana mbinu wanategemea polisi na kodi za wananchi kufanya biashara ya kununua binadamu
 
Honorable Mbowe the problem is within Chadema leadership ! Kubali hili na kuchukua hatua before it is too late ! Watanzania wengi bado wanaikubali Chadema na hasa vijana kama a challenger to CCM, sasa hii hali ya kutokubali kubadilika na hasa kuleta sura mpya uongozi wa juu slowly but steadly is erroding members loyalty to this biggest opposition party.

Wanaohama chadema sasa wanavurumisha mawe walikotoka na mbaya zaidi wanatoa siri za kimkakati za chama chenu kwenda waliko hamia ! This will harm the party ! No need to cling to power because no one is indispensable in such a big organisation, it can survise even without Mbowe and Mashingi ! Tambua hili na muache kulia lia, chukua hatua before the party completely collapses.
Comment yako ni ya kishamba,unafikiri chama kampuni Md.yeyote anaweza kupewa na kuongoza ehee! Vijana aina ya kitila na waitara ndio ulitaka wapewe uchairman. Poor thinking!
 
Aaa.. Wapi!!! chama ulikiuza mwenyewe kwa mzee Lowassa kwa 7B taslimu na fedha umeenda kuzichimbia Dubai.

Bila hata ya kulipa angalao kodi.
Mkuu jamaa hakulipa kodi kwa mujibu wa sheria! Watu wa ushuru wakimtia mkononi wakampeleka mahakamani akahukumiwa si itakuwa mwisho wa siasa? Kumbe nchi hii watu anajipatia vipato lakini hawalipi kodi!
 
MBOWE chutama ndugu usije kuaibika mbele za wakwe.
Zile Bilion7 ulipoenda kuzichimbia na Joyce Mukya zinakulilia. Ulichowafanyia Wapinzani na Wanademokrasia wa kweli hakitakuacha salama. Karma is a Bish. Fanya Sala ya TOBA MBOWE.
Chama kinakupasukia mikononi kwako. Hata mkweo Mzee Mtei amekaa kimya pembeni anaangalia jinsi ulivyopuuza ushauri wake na mambo yanavyokunjuka muda huu.
Kama pesa inalia vipi kilio cha damu ya alfonce mwanzo inavyowalilia juu ya vichwa vyenu ccm.DHAMBI NI DENI LAZIMA MPELEKE HESABU YA DAMU ZA WATU MBELE ZA MUNGU.
 
Mkuu jamaa hakulipa kodi kwa mujibu wa sheria! Watu wa ushuru wakimtia mkononi wakampeleka mahakamani akahukumiwa si itakuwa mwisho wa siasa? Kumbe nchi hii watu anajipatia vipato lakini hawalipi kodi!
Wazikague akaunti zake waone huyu jamaa anavyokwepa na kuiba ruzuku.
 
Nina GPA ya 32
IMG_20180819_171743.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom