Freeman Mbowe: Walipandikiza kwa NCCR Wakafanikiwa, TLP wakafanikiwa; wakapandikiza CUF kwa CHADEMA Wamekwama sasa wana hasira

MBOWE chutama ndugu usije kuaibika mbele za wakwe.
Zile Bilion7 ulipoenda kuzichimbia na Joyce Mukya zinakulilia. Ulichowafanyia Wapinzani na Wanademokrasia wa kweli hakitakuacha salama. Karma is a Bish. Fanya Sala ya TOBA MBOWE.
Chama kinakupasukia mikononi kwako. Hata mkweo Mzee Mtei amekaa kimya pembeni anaangalia jinsi ulivyopuuza ushauri wake na mambo yanavyokunjuka muda huu.
Akili za watu kama nyie ni bora kufuga mbuzi utamla supu siku ikifika kuliko kukufuga mtu wa aina yako.
 
Na sababu kubwa iliyokwamisha maendeleo ya nchi hii ni serikali kuwekeza kwenye namna ya kupambana na wapinzani kuliko maendeleo ya watu.

Matokeo yake nchi haiwezi hata ku-finance bajeti yake ambayo kwa asilimia kubwa ni hewa tu. Very Hopeless.
 
Rubish stories from chakaza! Mkiwa na bando msifunge macho Mkiwa mnaandika!.mahawara wanajuana.
 
Aaa.. Wapi!!! chama ulikiuza mwenyewe kwa mzee Lowassa kwa 7B taslimu na fedha umeenda kuzichimbia Dubai.

Bila hata ya kulipa angalao kodi.
CCM mmepanic mna hasira hadi kipaumbele cha serikali kimekuwa ni kuandaa uchaguzi mdogo kila baada ya week moja muda huo deni la taifa limekuwa kutoka trillion 38 hadi trillion 60 kwa muda mfupi tu wa awamu ya 5.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamanda wa povu mnashindwa kufanya mapinduzi ya ndani kama yale ya Cuf Prof alivyomng'oa Maalim,au mnaogopa kuuwawa?!
 
Mbowe ni mkwamishaji wa upinzani wa ukweli nchini,
Kweli kabisa kutoka wabunge 5 mpaka zaidi ya wabunge75 wakuchaguliwa chini ya utawala wake atakuwa anakwamisha upinzani,kwamaana CCM ni chama tawala lakini ni chama pinzani kwa vyama ambavyohaviko madarakani.
 
Hapo hapo ccm inapambana kubakia madarakani kwa kuhonga na kununua wapinzani na kuiba kura ili iendelee kutawala milele huku ikiwatumia police kwa maslahi yao binafsi huku siasa za majukwaa zikipigwa marufuku kwa upinzani
Hili wewe ni muumini mzuri sana na huoni tabu yoyote

E&K

Mkuu kuna popote nilipounga mkono huo ushenzi wa ccm kubakia madarakani kwa kununua wapinzani au kushinda kwa kutumia dola? Pitia post zangu hapa jukwaani ujue hicho nilichokisema kuhusu Mbowe sijakisema kwa bahati mbaya.
 
Mbowe anasubiri kuona nini ili aamini chamakimekufa?

Cdm haiwezi kufa kwa Mbowe kuwa mwenyekiti au kwa kutokuwa. Cdm itakufa tu kwa kukosa uungwaji mkono na wananchi. Na hii haijalisha kama kuna hujuma toka vyombo vya dola kwa amri ya rais ama la. Kama cdm kufa ilikuwa ife sasa wakati Magu anatumia cheo chake vibaya kuiangamiza.
 
Back
Top Bottom