Freeman Mbowe: Walipandikiza kwa NCCR Wakafanikiwa, TLP wakafanikiwa; wakapandikiza CUF kwa CHADEMA Wamekwama sasa wana hasira

Msimu huu SACCOS zote zitavunjwa, ndipo vitaundwa vyama halisi vya upinzani " ubatizo wa moto si wa kawaida" lazima mtakasike
 
CDM mpo vzr; soon biashara yao ita backfire.

So far yur game plan is super...
 
Aaa.. Wapi!!! chama ulikiuza mwenyewe kwa mzee Lowassa kwa 7B taslimu na fedha umeenda kuzichimbia Dubai.

Bila hata ya kulipa angalao kodi.
Unaweza kuitaja hadharani ni aina gani ya kodi inayotakiwa kulipwa baada ya muamala husika kufanyika? Ili tuone kama unatambua unachokisema au hunanunachokijua
 
Unatamba hamna mapandikizi chadema wakati Sumaye na Lowasa wapo kamati kuu ya chadema?

@ Nilienda chadema kwa manufaa ya ccm ~~~• Sumaye

#Mbowe must Go

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni defensive mechanism tu hazina ukweli wala uhalisia wowote.. Kusema ati CCM ina hasira na chadema ni dalili tosha kabsa kuwa upinzani nchini kwetu umeshindwa vibaya sana
Ktk maisha unashauriwa sana usijaribu kuiga njia za mafanikio ya mwenziyo... Ila unatakiwa uelewe mbinu ipi itakutoa sasa ktk miktadha ya siasa upinzani umedhibitisha kabsa kwamba nje na maandamano na kuitukana serikal hawakuwa na 2nd plans.
Leo hii chadema wanatafuta public sympathy ambayo haitawasaidia chochote...
Kulalamika tena kwa kutumia siraha ati CCM na serikali inawanunua wanachama wenu ama inatumia ahadi zozote zile ni indicator moja mbaya kabsa katka ulingo wa siasa
Kila mwananchi mwenye uelewa w mambo hawezi akakaa na kusikiliza upuuuzi kama huu kwani anajua kbsa ni sabbu za kitoto kwani mtu kqma huyo anajua kbs hata nyie mna vinasaba hivyo hvyo...
Chadema na upinzani kw ujumla inaonekana kbsa na hii ni mbaya na binafs inanikera sana kukalia kuangalia madhaifu ya serikali ndyo maana mmekuwa mkiendesha siasa zenu kw mifumo ile ile bila kubadilika ni kwa sababu ya kutokuwa na mifumo imara matokeo yake serikali ilipowagundua na kutokana na kubadilika kw tawala mmejikuta mfumo wenu ukifeli mchana kweupe na kushndwa kujua mchawi ni nani!! Jipangeni. Andaeni sera. Punguzeni kulalamika koz mnatuuuzi wananchi wenu na watu wanajikuta wakiwashangaa kila siku na mkiendelea na siasa hizi zisizo na mbele wa nyuma mtazidi kupukuchika kama miti .......pia GPA za 32 madhara yake ndo haya

Umeanza na uongo wa aya ya pili, eti kwenye maisha haitakiwi kuiga njia za mafanikio ya nwenzako. Hapo tu nikakuona kuwa huna unalolijua.
 
Inaonekana hata 10m hujawahi kushika.
downloadfile-2.gif

50k dollars ni kila wiki.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom