Freeman Mbowe ujue jinai haina mwisho

Freeman Mbowe ujue jinai haina mwisho

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,889
Reaction score
8,470
Hakuishinda kesi ya ugaidi alitolewa kwa mbeleko ya Samia, siku akiingia rais mwingine atakamatwa.

Kwa hiyo ni bora alipokutwa na kesi ya kujibu angekomaa hadi ashinde kesi badala ya kukubali mashitaka kusogezwa mbele.

DPP akiamua hata leo anarudisha kesi mahakamani.
 
Huyu kengeza lazima aje kuhukumiwa kunyongwa mpaka kufa. Siku hiyo nitafanya sherehe kama alivosherehekea kifo cha Dkt Magufuli
Muwe mnapitia pitia sheria kidogo...kwani umeambiwa kesi imestopishwa?! ni imefutwa ina maana hakuna kesi tena..yaani haikuwahi kuwepo kesi ya namna hio hapo mahakamani.
 
😆😆
Screenshot_20230309-225143_Instagram~2.jpg
 
Mna shida sana.nahangaika Sana na Mbowe, kuliko ugumu wa Maisha mtaani.
 
We mwehu kumbuka kuwa hii kesi ilifutwa kwa sababu zifuiatazo;
1. Hii kesi ilikuwa ya kutunga na ilifanywa na yule mhuni kama alivyofanya kwa wapinzani wengine tishio!
2. Mahakimu na Majaji waliokuwa wakisikiliza kesi hii walikuwa wakipangwa ili kutoa upendeleo!
3. Kwenye hatua ya kwenda kujibu tuhumu Serikali ilijua wazi kuwa inakwenda kuaibika mchana kweupe!
Ukiwaza kwa akili ndogo kabisa unagundua kabisa pasi na shaka kuwa kesi ile ilikuwa ya magumashia.k.a. mchongo!
 
Huyu kengeza lazima aje kuhukumiwa kunyongwa mpaka kufa. Siku hiyo nitafanya sherehe kama alivosherehekea kifo cha Dkt Magufuli
Hayawani kama wewe ndie anaeweza kuwaza hilo!
Sidhani kama uko na akili timamu kichwani!
Ungekuwa na akili japo za kuvukia barabara ungejua ukweli wa kesi ile na ilivyokuwa imetungwa kishamba na kijinga kabisa!
 
Chuki binafsi inatesa sana watu. Kumbe mtu ambae hajakudhuru akitolewa mahabusu unateseka?
 
Back
Top Bottom