Kijiji Balaa
Member
- Nov 29, 2012
- 47
- 10
huoni profesa safari anavyowabeba kwenye kesi zenu? prof feki ni kahigi tu ambaye hajui hata kusoma hotuba ambaye naye yupo chadema
uongozi bila ya elimu inayotambulika ni sawa kutwanga maji kwenye kinu. huwezi kuwa na ndoto za kwenda ikulu wakati hata elimu huna
Walikimbia umande. Wamuige mrema alipata degree ndani ya miezi 9kwa hiyo ulikuwa unasemaje?
Walikimbia umande. Wamuige mrema alipata degree ndani ya miezi 9
hebu tuelezane ukweli,hivi kipindi nyerere anachukua nchi tanganyika/tanzania ilikuwa na wasoma wangapi?
Rejao ina maana unataka kutuambia kuwa hufahamu kuwa hawa wanaccm wenzako wanafanya hivi kutekeleza majukumu ya lumumba project? au unataka kuwakana buku saba fc?JamiiForums siku hizi imeingiliwa!!
Hawa joiners wa mwaka huu wote inabidi wapewe orientation kidogo. Wawe wanasearch kwanza mada kama ilishawahi kujadiliwa hapa kabla ya kuja nayo tena. Hizi CV za hawa watu tumeshaziscuss kwa zaid ya miaka 3. Kila mtu anafahamu hawana shule na sidhani kama kuna jipya tena . Mods, muwe mnafanya kazi yenu ya kuziunganisha bana!!
nashukuru hawajanunua kama ya kwako.
weka na yako!
Maisha hayana UjanjaUjanja. Warudi shule waache kuishi kwa kupitia michango wanayowachangisha na kuwatapeli kwenye mikutano yao.