Freeman Mbowe na Mr.II Sugu wafanya kweli Iringa!

Freeman Mbowe na Mr.II Sugu wafanya kweli Iringa!

Kazi imesha anza ongezeni bidii hata wataelewa tu .Walidhani watanzania wataendelea kulala tu
 
ooooups kumbe huyu mwita25 ndo filandara nae ni virus....! dawa jikoni wewe ka avira tu kanakutushaa kwani u mende nyundo ya nini....
 
Sugu nenda Mbeya kawape pole wapigakura wako wameunguliwa na masoko ata atujasikia tamko lolote. Usifate mkumbo kimbilia Mbeya wewe unaweza kukosa Ubunge 2015 kwa kutoshirikisha akili, Unamsaada wowote kwa wapiga kura wako.

acha unafiki, ebu cheki hapa uumbuke www.suguformbeya.blogspot.com
 
Back
Top Bottom