johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Kwaresma ni kipindi muhimu sana kwetu Wakristo katika kutenda Haki mbele ya wanadamu na mbele zake Mungu wa mbinguni.
Ni kama tu wakati wa Ramadan kwa ndugu zetu waislamu.
Nimeangalia Jopo la Wadau wa kesi hii pale Mahakamani katika kesi ya Ugaidi kuanxia Mahakama yenyewe, DPP na Mawakili wa Kujitegemea na Chadema na nimegundua wengi wao ni Wagalatia kwa kutumia kigezo cha majina yao.
Ingewezekana kabisa utetezi kuanza mwezi May lakini Mungu wa mbinguni kaamua iwe mwezi March wakati wa mfungo wa Kwaresma. Lazima Mungu wa mbinguni ana sababu.
Tuzidi kuliombea jopo zima pale mahakamani lisije likaingia majaribuni kwani kipindi cha Kwaresma Shetani anakuwa kazini 24/7 kuliko majira mengine ya mwaka.
Dominica njema!