Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off!

Huyu aliyetoa maada ni chizi tu , anasema chadema imepoa, ingekuwa imepoa Rais angekizuia kisifanye mikutano? Hebu mshaurini Rais aruhusu mikutano ya hadhara miezi sita tu tuone kama kuna MTU ataitaja ccm na Rais. Hakuna kipindi kigumu kwa vyama vya upinzani au siasa kama sasa ambapo ukandamizaji upo juu. Ni kipindi ambacho chadema inamhitaji Mbowe kuliko unavyofikiria.
Hivi siasa ni mikutano tu, upuuzi wa mtu asiye na uwezo wa kufikiri huwa anakuwa na limited plans..! Kwa mtu genius kuzuiliwa mikutano ya kisiasa ni fursa kwa siasa za upinzani ila vilaza utaona mnarusha miguu as if mumekuwa suffocated kwenye carbon..! Akili kimo chake siyo shuleni bali kwenye mazingira na uzoefu wa uhalisia wa mambo..!
 
Politics is a tactical game, and the only thing you can do is to time a minutes to study yr opponent team after game take off..!
So missusing police force and brutalizing party leaders is how you tasked to win multipartism?

Kwanini Watawala wanatumia kauli na matamko ya vitisho kila uchwao?
Kwanini mwenyekiti wenu hataki kuruhusu demokrasia itamalaki kama jinsi ilivyokuwa awamu iliyopita?

Binafsi sioni kama CDM ina mwelekeo wa kufa ilhali kuna ugandamizaji wa dhahiri wa demokrasia Nchi?
Ndiyo maana tunasisitiza hivi, kwa muda huu chama kinamhitaji zaidi Mbowe kuliko awamu nyingine yeyote labda mpaka pale mfumo gandamizi wa demokrasi utakapoisha.

Magufuli kapalanganisha uhalisia wa uwepo wa vyama vya upinzani Nchini na ndiyo maana tunashuhudia namna ambavyo viongozi wa vyama vingine wakiweweseka kumkumbatia na kushabikia uchafu afanyao.

Simply they are being bought at cheap price.
Ni mbowe pekee asiye weza kununulika.

And this is how we gonna play
 
Kuna member mfia ufipa Tetty hajapita hapa kumwaga mashudu?
Hawa vijana wa ufipa, hawana hoja maridhawa kazi kurusha matusi ata kwa mtu wasio mjua..! Siasa siyo ugomvi pia ni watanzania wachache tu ndiyo tuko katka vyama vya siasa.
 
Hivi siasa ni mikutano tu, upuuzi wa mtu asiye na uwezo wa kufikiri huwa anakuwa na limited plans..! Kwa mtu genius kuzuiliwa mikutano ya kisiasa ni fursa kwa siasa za upinzani ila vilaza utaona mnarusha miguu as if mumekuwa suffocated kwenye carbon..! Akili kimo chake siyo shuleni bali kwenye mazingira na uzoefu wa uhalisia wa mambo..!
Wee mjinga siasa ni watu na sehemu pekee ya kuwapata watu ni kwenye mkutano. Hakuna njia nyingine yeyote duniani ya kufanya siasa zaidi ya mikutano ambapo watu wengi ukutana na kusikiliza na kujadili. Kama siasa sio mikutano basi mwambie baba Jesca hiyo mikutano ya hadhara anafanya ya nini si akae tu ikulu mpaka 2020 , tuone kama kuna mtu atamjua. Nitajie nchi moja tu ambayo vyama havitumii majukwaa na mikutano ya hadhara kujieneza.
 
So missusing police force and brutalizing party leaders is how you tasked to win multipartism?

Kwanini Watawala wanatumia kauli na matamko ya vitisho kila uchwao?
Kwanini mwenyekiti wenu hataki kuruhusu demokrasia itamalaki kama jinsi ilivyokuwa awamu iliyopita?

Binafsi sioni kama CDM ina mwelekeo wa kufa ilhali kuna ugandamizaji wa dhahiri wa demokrasia Nchi?
Ndiyo maana tunasisitiza hivi, kwa muda huu chama kinamhitaji zaidi Mbowe kuliko awamu nyingine yeyote labda mpaka pale mfumo gandamizi wa demokrasi utakapoisha.

Magufuli kapalanganisha uhalisia wa uwepo wa vyama vya upinzani Nchini na ndiyo maana tunashuhudia namna ambavyo viongozi wa vyama vingine wakiweweseka kumkumbatia na kushabikia uchafu afanyao.

Simply they are being bought at cheap price.
Ni mbowe pekee asiye weza kununulika.

And this is how we gonna play
Ni muda wa matatizo/changamoto tu utajua unaakili kiasi gani, vilio hawasaidii kitu, powerful brain hazijaribiwi na vitu vidogo sasa Mh. Mbowe kweli kabisa eti mnategemea asogeze chandema(kimenishinda wahaya husema)
 
Hivi siasa ni mikutano tu, upuuzi wa mtu asiye na uwezo wa kufikiri huwa anakuwa na limited plans..! Kwa mtu genius kuzuiliwa mikutano ya kisiasa ni fursa kwa siasa za upinzani ila vilaza utaona mnarusha miguu as if mumekuwa suffocated kwenye carbon..! Akili kimo chake siyo shuleni bali kwenye mazingira na uzoefu wa uhalisia wa mambo..!

Ni kweli kabisa siasa sio mikutano tu, lakini ili uweze kufanya siasa mikutano ni kitu namba moja. Sio mara moja au mbili kiongozi wa upinzani anapotaka kufanya jambo la maendeleo lazima utaona kabisa viongozi wa wa ccm waliovaa koti la serekali watafanya hila ili kiongozi wa upinzani asionekane. Nakumbuka mbunge wa jimbo la bukoba mjini aliwahi kupeleka vitaa tiba hospitalini, mganga mkuu na wasaidizi wake waligoma kupokea na wengine walijificha kabisa.

Hapa Dar jimbo la ubungo kama sikosei wapinzani walitaka kuleta mtambo wa kuchakata taka ili kutoa mbolea, mtambo huo uliwekea vikwazo vya dhahiri hatimaye lile likashindikana mpaka leo. Katika mazingira hayo unatarajia nini? Kulikuwa na sakata la Mrisho Gambo RC arusha na Lema kuhusu hosptali ya mama na mtoto, wote tuliona lile tafrani kwa Gambo kutaka kuleta hayo hayo ninayokuambia ni hila za wazi. Bahati nzuri Lema alivuruga kwani angekaa kimya leo hii mradi ule ungeonekana ni wa juhudi za ccm. Je unataka wapinzani wote wafanye kama Lema kwenye miradi ndio ujue wapo? Halafu uwe na adabu hizo lugha za matusi mpelekee mkeo saa mnasagana.
 
Wee mjinga siasa ni watu na sehemu pekee ya kuwapata watu ni kwenye mkutano. Hakuna njia nyingine yeyote duniani ya kufanya siasa zaidi ya mikutano ambapo watu wengi ukutana na kusikiliza na kujadili. Kama siasa sio mikutano basi mwambie baba Jesca hiyo mikutano ya hadhara anafanya ya nini si akae tu ikulu mpaka 2020 , tuone kama kuna mtu atamjua. Nitajie nchi moja tu ambayo vyama havitumii majukwaa na mikutano ya hadhara kujieneza.
Mtu mvivu siku zote haangalii namna ya kutatua changamoto zaidi huangazia namna kukwepa kuwajibika au kutafuta suruhu ya matatizo..!

Wapinzani ni kweli kwamba it's only political rally where politics can be made..??? Ufinyu wa mawazo na udhaifu na shutuma za viongozi wenu ndizo zimewarudisha nyuma..! Siombei upinzani ufe maana najua kazi yake.
 
Habari zenu, binafsi nitangaze interest kuwa ni muumini wa democrasia (multipartism) licha ya kuwa ni mwanachama wa chama kimoja cha siasa.

Niseme kwa dhati kabisa nakutoa angalizo kuwa USIONE UKADHANI maana kuona tu hakutoshi kuthibitisha ukweli ( observation isn't enough to reveal the truth). Nasema hivi maana hapa wenda kuna watu siyo muda watanishambulia sababu tu wao wanalinda chama chao na kudhani wengine hatuna vyama ila kuna wakati tunasimama katikati..!

Baada ya maelezo mafupi twende SAKO KWA BAKO kwenye mjadala.

Binafsi namuona mh. Freeman Mbowe kama mzimu au jinamizi lingine linaloikabiri Democrasia ya Tanzania. Wengi hamtanielewa maana hapa ni watu wenye ubongo mkubwa (bigbrain people) ndiyo wataelewa ninachotaka kusema. Sababu ni kama zifuatavyo:-

Kwanza mh. Mbowe hajawahi kuwa mwanasiasa na hawezi kuwa mwanasiasa licha kuwa amebahatika (kiujanjaujanja) kushika madaraka ya kisiasa kwenye chama na bungeni. Nasema hivi maana ukweli ni kuwa mh. Mbowe nje ya maslahi yake ya kibiashara siasa kwake si kitu ni upuuzi mtupu, sasa mtu wa namna hii utasema ni mwanasiasa sababu hana political vision ya kusomea au kuzaliwa huyu jamaa naweza kumtuita MJASIRIA MALI WA SIASA (political entrepreneur man).

Pili kuthibitisha haya kama kuna mtu makini atanielewa, binafsi sijawahi kushiriki siasa za nchi hii kwa maana ya kugombea/kuwanis cheo ndani ya chama cha siasa kiwacho nchini humu au nafasi ya uongo wa umma/serikali ingawa nimufuatiliaji murua/mzuri wa siasa za nchi hii kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Mh. Mbowe anaonekana katika wajihi/wasifu wake wa kisiasa akipanda tu vyeo bila yeye kuonesha ubora wake katika siasa za nchi hii, ni mtu anayefurahia kuvuna asipopanda Mbowe nimjuaye ni mtu ambaye hajawahi kupata political grievances(misukosuko ya kisiasa) hapo kabla ila kwa wakati huu wa mh. Magufuri. na pia hii misukosuko ni yake binafsi zaidi na siyo ya kichama.

Tatu, huu ni ushuhuda kwa wenye macho ya ubongo, Mh. Mbowe tangu utawala wa awamu ya tano(mh. Magu) aingie madarakani amemudu kumnyamazisha sababu alimjua vyema na mbinu rahisi imekuwa ni kucheza maslahi ys huyu jamaa (Mbowe), SIASABIASHARA (politic-business) ndiyo mchezo wa mh. Mbowe ndiyo nikamwita (political entrepreneur man), wafanyacho CCM ni kumshika kwenye maslahi yake naye ameufyata.

Nne, bila shaka mtamkumbuka katibu mkuu wa CHADEMA wa zamani dr. Wilbroad Slaa(maarufu kama DR.MIHOGO-waneno ya wafia chama) alikuwa ni moyo/mtima wa chama cha CHADEMA alifanya mengi yaliyompa sifa yeye na chama chenyewe (CHADEMA), huku mh. Mbowe akibaki kuvuta utamu kwa mrija mrefu aliouchomeka ndani ya mtungi (chadema) mwisho Mh. Mbowe na mchezomchezo wake wa ajabu akamleta LOWASSA alininangwa na ambaye aliaminika kwa maelfu ya wafuasi wa chadema kuwa fisadi mkuu akatumbukia ndani ya mtungi dr. Slaa huyo akasepa alitukanwa sana. Ila madhara sasa hivi mnayaona kumbuka dr. Slaa alionya sana juu ya VIJANA WAPENDA MAGEUZI alisema ni jambo jema ila kutaka mageuzi bila kujua nini unachotaka kugeuza ni kupotea kwa mara ya pili.

Tano, nisiwachoshe, Mh. Mbowe na Mh. Lowassa niwe tu muwazi hawa watu ni sawa karibia kwa kila kitu, sifa nilizompa Mh. Mbowe na Lowassa anazo sasa kazi ya CCM ni nyepesi mno, nijuavyo mh. Lowassa anajus fika hawezi kuchukua nchi hii, ila anachofanya ni kutafuta hifadhi ya kiasiasa kwa ajili ya biashara zake, ni wazi kwa trend ya siasa za hii nchi Lowassa na chadema wanapoteza umaarufu na sababu ccm wanejua namna ya kuwathibiti na palipo na Mbowe na Lowassa yupo pembeni (birds with same color flock together) huu mchezo hauhitaji hasira.

Mwisho nitoe tu angalizo upinzani kuwa na watu wenye kashifa, maslahi binafsi ya kisiasa na ambao system (ccm) inawajua vyema hakika kifo chao hakitaepukika maana ccm knows well the point/angle of their weaknesses.

Jifunzeni kwa wabunge kama Mnyika ni kati ya wabunge wanaopata shida kufanya kazi na viongozi km Mbowe, Lowassa, Sumayi na wengine wenye mizizi isiyo safi. Twende turudi upinzani(chadema/cuf) mjitafakari upya hasa vyama vikuu ya upinzani kuweni makini. Mafanikio ya ghafla yataangamiza upinzani nchini jengeni, wafundeni, na kuwalea viongozi vijana kwa ajili ya viongozi wa kesho. Chadema na Cuf zina zaidi ya miaka 20 iweje hazijengi vijana wake kwa kuwapa uwezo kiuongozi, kuwafunda wanaishia kutoa vyeo kwa ndugu, jamaa, marafiki, maslahi, ukanda, na nepotism za ajabu huku wakituacha wenye haki tukilia (usije dhani nina maslahi) mbinu za kisanii, mapigo wanayopata ni mazao ya usaliti wa vijana wanaojituma kupigania na kujenga chama ila hawalipwi na kupewa stahiki za uanachama wao.

Mtanitukana najua, ila ukweli siku zote lazima utamalaki tuu.

eleza na mazuri yake pia tupime ili tuchangie vizuri
 
Ni muda wa matatizo/changamoto tu utajua unaakili kiasi gani, vilio hawasaidii kitu, powerful brain hazijaribiwi na vitu vidogo sasa Mh. Mbowe kweli kabisa eti mnategemea asogeze chandema(kimenishinda wahaya husema)
We jinga jinga bado hukomi kuingia kwenye anga zangu?

Kwanza nimekupuuza tangu awali pale ulipo ropoka eti Mbowe ameingia kwenye siasa kijanja janja?!
Yaelekea hata hujamfuatilia vizuri chimbuko lake alipokikuta chama, alivyopambana kukijenga na mafanikio mpaka pale kilipo.
Wengi wenu huwa mnakimbilia kwenye tukio la kuwafulumsha wasaliti ndo iwe weaknesses za Mbowe, lakini pia kwakuwa siku zote muda ndiyo mwalimu mkweli, bila shaka rangi na karba za hawa wasaliti zimedhihiri machoni mwenu.

Halafu jaribu kulinganisha maendeleo yaliyopo kwenye jimbo la chato na kule hai kwa mh mbowe licha ya kutokuwa mwakilishi kupitia chama tawala.
Mwenyekiti wako kaamua kujitoa ufahamu kwa kuwapendelea wazi wazi watu wake wa chato.
 
Ndiyo mnachotaka. Ndiyo maana ya visingizio vyote mlivyomfanyia. Mola yuko anawaona. Kama siyo leo ni kesho. Kwani nyie ni Mungu? Nyie mnapanga maovu Mungu mwema atapangua.Mtaona 2020.
 
Ukweli utabaki palepale Mbowe kapwaya, kuna haja ya yeye kustep down awaachie wengine waliongoze jahazi.... Hana ubavu wa kupambana na Sizonje tena jukwaani,
Ni kweli Sizonje sio mwanasiasa ila anajijenga kiasiasa machoni pa watu....
Tangu awamu ya tano ianze kazi Mbowe kaufyata mkia anaangalia mchezo tu! Hatujui ana nia gani na Chadema yetu, Mbowe step down please, tuache na chama chetu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee mketa mada kama Mbowe hafai kwa nini chadema inafungwa mdomo na mikono? Kama mkuu anajiamini kwa nini anaogopa? Si mchapa kazi Slaa hayuko? Sasa mbona woga? Mnapiga vita ufisadi mbona wamejaa bungeni kule chama kuu? Wote walitajwa kuhusiana na makinikia!!! Majina yako ya Escrow, ya makinikia, etc,etc lakini tunataka tu sifa.
Kama ni kazi tu basi fanyeni kazi acheni kunua wapinzani. Acheni kutesa Mbowe bila sababu!
Wewe unamsema Mbowe sema mawaziri mbona wote wako kimya wanaendeshwa ka kondoo? Unataka Nini hasa Mbowe afanye apambane na mapoli kila leo?
Akikaa kimya mnamsema akiongea mnamfunga ama kumtoa bungeni. Ebu asimame na mkuu uone.waongee kimombo. Eti hajasoma wewe umesoma nini zaidi yake. Nyerere alikaa kwenye chama chake mpaka kikatengamaa miaka zaidi ya 30 tangu aanze harakati.
Unadhani vyama ni kama kuongoza baa unaweza kumwachia yeyote akaendesha.
Mbona Zito anahangaikia uwaziri kwa kuwa moto umemwakia. Hana la kufanya lazima alambe viatu.
Acheni kuidanganya chadema siyo wajinga hivyo.
 
Mimi siyo chadema ila naipenda nchi yangu. Napenda amani napenda umoja napenda watu wapendane. Mtu hawezi kusingizia kazi na kuumiza wengine. Siasa hiyo naikataa. Nakataa pia kumsema Mbowe badala ya kuusema ccm na mkuu utawala unaoonea watu usio na ukweli unaodanganya watu unaoongea mazuri na kutenda mabaya gizani.
 
We jinga jinga bado hukomi kuingia kwenye anga zangu?

Kwanza nimekupuuza tangu awali pale ulipo ropoka eti Mbowe ameingia kwenye siasa kijanja janja?!
Yaelekea hata hujamfuatilia vizuri chimbuko lake alipokikuta chama, alivyopambana kukijenga na mafanikio mpaka pale kilipo.
Wengi wenu huwa mnakimbilia kwenye tukio la kuwafulumsha wasaliti ndo iwe weaknesses za Mbowe, lakini pia kwakuwa siku zote muda ndiyo mwalimu mkweli, bila shaka rangi na karba za hawa wasaliti zimedhihiri machoni mwenu.

Halafu jaribu kulinganisha maendeleo yaliyopo kwenye jimbo la chato na kule hai kwa mh mbowe licha ya kutokuwa mwakilishi kupitia chama tawala.
Mwenyekiti wako kaamua kujitoa ufahamu kwa kuwapendelea wazi wazi watu wake wa chato.
Anyway, ukiwaza zaidi ya hapa itakuwa ni maajabu..!
 
Habari zenu, binafsi nitangaze interest kuwa ni muumini wa democrasia (multipartism) licha ya kuwa ni mwanachama wa chama kimoja cha siasa.

Niseme kwa dhati kabisa nakutoa angalizo kuwa USIONE UKADHANI maana kuona tu hakutoshi kuthibitisha ukweli ( observation isn't enough to reveal the truth). Nasema hivi maana hapa wenda kuna watu siyo muda watanishambulia sababu tu wao wanalinda chama chao na kudhani wengine hatuna vyama ila kuna wakati tunasimama katikati..!

Baada ya maelezo mafupi twende SAKO KWA BAKO kwenye mjadala.

Binafsi namuona mh. Freeman Mbowe kama mzimu au jinamizi lingine linaloikabiri Democrasia ya Tanzania. Wengi hamtanielewa maana hapa ni watu wenye ubongo mkubwa (bigbrain people) ndiyo wataelewa ninachotaka kusema. Sababu ni kama zifuatavyo:-

Kwanza mh. Mbowe hajawahi kuwa mwanasiasa na hawezi kuwa mwanasiasa licha kuwa amebahatika (kiujanjaujanja) kushika madaraka ya kisiasa kwenye chama na bungeni. Nasema hivi maana ukweli ni kuwa mh. Mbowe nje ya maslahi yake ya kibiashara siasa kwake si kitu ni upuuzi mtupu, sasa mtu wa namna hii utasema ni mwanasiasa sababu hana political vision ya kusomea au kuzaliwa huyu jamaa naweza kumtuita MJASIRIA MALI WA SIASA (political entrepreneur man).

Pili kuthibitisha haya kama kuna mtu makini atanielewa, binafsi sijawahi kushiriki siasa za nchi hii kwa maana ya kugombea/kuwanis cheo ndani ya chama cha siasa kiwacho nchini humu au nafasi ya uongo wa umma/serikali ingawa nimufuatiliaji murua/mzuri wa siasa za nchi hii kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Mh. Mbowe anaonekana katika wajihi/wasifu wake wa kisiasa akipanda tu vyeo bila yeye kuonesha ubora wake katika siasa za nchi hii, ni mtu anayefurahia kuvuna asipopanda Mbowe nimjuaye ni mtu ambaye hajawahi kupata political grievances(misukosuko ya kisiasa) hapo kabla ila kwa wakati huu wa mh. Magufuri. na pia hii misukosuko ni yake binafsi zaidi na siyo ya kichama.

Tatu, huu ni ushuhuda kwa wenye macho ya ubongo, Mh. Mbowe tangu utawala wa awamu ya tano(mh. Magu) aingie madarakani amemudu kumnyamazisha sababu alimjua vyema na mbinu rahisi imekuwa ni kucheza maslahi ys huyu jamaa (Mbowe), SIASABIASHARA (politic-business) ndiyo mchezo wa mh. Mbowe ndiyo nikamwita (political entrepreneur man), wafanyacho CCM ni kumshika kwenye maslahi yake naye ameufyata.

Nne, bila shaka mtamkumbuka katibu mkuu wa CHADEMA wa zamani dr. Wilbroad Slaa(maarufu kama DR.MIHOGO-waneno ya wafia chama) alikuwa ni moyo/mtima wa chama cha CHADEMA alifanya mengi yaliyompa sifa yeye na chama chenyewe (CHADEMA), huku mh. Mbowe akibaki kuvuta utamu kwa mrija mrefu aliouchomeka ndani ya mtungi (chadema) mwisho Mh. Mbowe na mchezomchezo wake wa ajabu akamleta LOWASSA alininangwa na ambaye aliaminika kwa maelfu ya wafuasi wa chadema kuwa fisadi mkuu akatumbukia ndani ya mtungi dr. Slaa huyo akasepa alitukanwa sana. Ila madhara sasa hivi mnayaona kumbuka dr. Slaa alionya sana juu ya VIJANA WAPENDA MAGEUZI alisema ni jambo jema ila kutaka mageuzi bila kujua nini unachotaka kugeuza ni kupotea kwa mara ya pili.

Tano, nisiwachoshe, Mh. Mbowe na Mh. Lowassa niwe tu muwazi hawa watu ni sawa karibia kwa kila kitu, sifa nilizompa Mh. Mbowe na Lowassa anazo sasa kazi ya CCM ni nyepesi mno, nijuavyo mh. Lowassa anajus fika hawezi kuchukua nchi hii, ila anachofanya ni kutafuta hifadhi ya kiasiasa kwa ajili ya biashara zake, ni wazi kwa trend ya siasa za hii nchi Lowassa na chadema wanapoteza umaarufu na sababu ccm wanejua namna ya kuwathibiti na palipo na Mbowe na Lowassa yupo pembeni (birds with same color flock together) huu mchezo hauhitaji hasira.

Mwisho nitoe tu angalizo upinzani kuwa na watu wenye kashifa, maslahi binafsi ya kisiasa na ambao system (ccm) inawajua vyema hakika kifo chao hakitaepukika maana ccm knows well the point/angle of their weaknesses.

Jifunzeni kwa wabunge kama Mnyika ni kati ya wabunge wanaopata shida kufanya kazi na viongozi km Mbowe, Lowassa, Sumayi na wengine wenye mizizi isiyo safi. Twende turudi upinzani(chadema/cuf) mjitafakari upya hasa vyama vikuu ya upinzani kuweni makini. Mafanikio ya ghafla yataangamiza upinzani nchini jengeni, wafundeni, na kuwalea viongozi vijana kwa ajili ya viongozi wa kesho. Chadema na Cuf zina zaidi ya miaka 20 iweje hazijengi vijana wake kwa kuwapa uwezo kiuongozi, kuwafunda wanaishia kutoa vyeo kwa ndugu, jamaa, marafiki, maslahi, ukanda, na nepotism za ajabu huku wakituacha wenye haki tukilia (usije dhani nina maslahi) mbinu za kisanii, mapigo wanayopata ni mazao ya usaliti wa vijana wanaojituma kupigania na kujenga chama ila hawalipwi na kupewa stahiki za uanachama wao.

Mtanitukana najua, ila ukweli siku zote lazima utamalaki tuu.
Makala yako imejaa utetezi mwingi, mara mimi sio mwanasiasa, mara mtanitukana mara hivi. Sikiliza, wewe ni mnafiki tu wa kawaida.
Eti mimi ni mwanachama chama fulani, si useme tu wee ni kada wa CCM? Chadema inakuwashia nini?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Inawezekana Mbowe ana makosa yake lakini kazi yake inaonekana. Alichukua uenyekiti chama kikiwa na wabunge wanne, 2005 wakafikia 11, 2010 wakafikia 40, 2015 wako zaidi ya 80.
Chini ya uongozi wake Chadema imeongoza halmashauri na majij yote matano na kuwa na madiwani lukuki.

Halafu unasema Mbowe hajapata misukosuko katika awamu ya tano. Mbowe hakutajwa naMakonda kwenye list ya wauza dawa za kulevya? Hajanyang'anywa Bilicanas na jengo likavunjwa? Shamba lake la Hai halijaharibiwa na DC? Unataka misukosuko gani mingine?

Nimalize kwa kukuita wewe mnafiki usiyejua unachokiongea. Kabla hujaleta pumba zako pitia maandiko usome.
Kilaza mkubwa

Rudi ukasome, tena thread yangu umenasa kwenye kijimtego kidogo sana, acha mihemko am not simple rafiki yangu..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom