Na kwa akili yako piaShauri yenu..! Hivi kwa akili yenu kila mtu mnamdhania ni ccm kwa kuwa anapingana na chadema au upinzani??
Mwanzoni umesema wewe mfuasi wa chama fulani lkn hukutaja? Ila huku mbele umejidhihirisha wewe ni yule mfanya usafi jengo la lumumba, usijali palilia ajira yako na hivyo elimu yenyewe ya kuunga unga usipokomaa hapo huku mtaani unaweza shikishwa......... Najua umeelewa msalimie yule msemaji madoido mwendo wake.Habari zenu, binafsi nitangaze interest kuwa ni muumini wa democrasia (multipartism) licha ya kuwa ni mwanachama wa chama kimoja cha siasa.
Niseme kwa dhati kabisa nakutoa angalizo kuwa USIONE UKADHANI maana kuona tu hakutoshi kuthibitisha ukweli ( observation isn't enough to reveal the truth). Nasema hivi maana hapa wenda kuna watu siyo muda watanishambulia sababu tu wao wanalinda chama chao na kudhani wengine hatuna vyama ila kuna wakati tunasimama katikati..!
Baada ya maelezo mafupi twende SAKO KWA BAKO kwenye mjadala.
Binafsi namuona mh. Freeman Mbowe kama mzimu au jinamizi lingine linaloikabiri Democrasia ya Tanzania. Wengi hamtanielewa maana hapa ni watu wenye ubongo mkubwa (bigbrain people) ndiyo wataelewa ninachotaka kusema. Sababu ni kama zifuatavyo:-
Kwanza mh. Mbowe hajawahi kuwa mwanasiasa na hawezi kuwa mwanasiasa licha kuwa amebahatika (kiujanjaujanja) kushika madaraka ya kisiasa kwenye chama na bungeni. Nasema hivi maana ukweli ni kuwa mh. Mbowe nje ya maslahi yake ya kibiashara siasa kwake si kitu ni upuuzi mtupu, sasa mtu wa namna hii utasema ni mwanasiasa sababu hana political vision ya kusomea au kuzaliwa huyu jamaa naweza kumtuita MJASIRIA MALI WA SIASA (political entrepreneur man).
Pili kuthibitisha haya kama kuna mtu makini atanielewa, binafsi sijawahi kushiriki siasa za nchi hii kwa maana ya kugombea/kuwanis cheo ndani ya chama cha siasa kiwacho nchini humu au nafasi ya uongo wa umma/serikali ingawa nimufuatiliaji murua/mzuri wa siasa za nchi hii kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Mh. Mbowe anaonekana katika wajihi/wasifu wake wa kisiasa akipanda tu vyeo bila yeye kuonesha ubora wake katika siasa za nchi hii, ni mtu anayefurahia kuvuna asipopanda Mbowe nimjuaye ni mtu ambaye hajawahi kupata political grievances(misukosuko ya kisiasa) hapo kabla ila kwa wakati huu wa mh. Magufuri. na pia hii misukosuko ni yake binafsi zaidi na siyo ya kichama.
Tatu, huu ni ushuhuda kwa wenye macho ya ubongo, Mh. Mbowe tangu utawala wa awamu ya tano(mh. Magu) aingie madarakani amemudu kumnyamazisha sababu alimjua vyema na mbinu rahisi imekuwa ni kucheza maslahi ys huyu jamaa (Mbowe), SIASABIASHARA (politic-business) ndiyo mchezo wa mh. Mbowe ndiyo nikamwita (political entrepreneur man), wafanyacho CCM ni kumshika kwenye maslahi yake naye ameufyata.
Nne, bila shaka mtamkumbuka katibu mkuu wa CHADEMA wa zamani dr. Wilbroad Slaa(maarufu kama DR.MIHOGO-waneno ya wafia chama) alikuwa ni moyo/mtima wa chama cha CHADEMA alifanya mengi yaliyompa sifa yeye na chama chenyewe (CHADEMA), huku mh. Mbowe akibaki kuvuta utamu kwa mrija mrefu aliouchomeka ndani ya mtungi (chadema) mwisho Mh. Mbowe na mchezomchezo wake wa ajabu akamleta LOWASSA alininangwa na ambaye aliaminika kwa maelfu ya wafuasi wa chadema kuwa fisadi mkuu akatumbukia ndani ya mtungi dr. Slaa huyo akasepa alitukanwa sana. Ila madhara sasa hivi mnayaona kumbuka dr. Slaa alionya sana juu ya VIJANA WAPENDA MAGEUZI alisema ni jambo jema ila kutaka mageuzi bila kujua nini unachotaka kugeuza ni kupotea kwa mara ya pili.
Tano, nisiwachoshe, Mh. Mbowe na Mh. Lowassa niwe tu muwazi hawa watu ni sawa karibia kwa kila kitu, sifa nilizompa Mh. Mbowe na Lowassa anazo sasa kazi ya CCM ni nyepesi mno, nijuavyo mh. Lowassa anajus fika hawezi kuchukua nchi hii, ila anachofanya ni kutafuta hifadhi ya kiasiasa kwa ajili ya biashara zake, ni wazi kwa trend ya siasa za hii nchi Lowassa na chadema wanapoteza umaarufu na sababu ccm wanejua namna ya kuwathibiti na palipo na Mbowe na Lowassa yupo pembeni (birds with same color flock together) huu mchezo hauhitaji hasira.
Mwisho nitoe tu angalizo upinzani kuwa na watu wenye kashifa, maslahi binafsi ya kisiasa na ambao system (ccm) inawajua vyema hakika kifo chao hakitaepukika maana ccm knows well the point/angle of their weaknesses.
Jifunzeni kwa wabunge kama Mnyika ni kati ya wabunge wanaopata shida kufanya kazi na viongozi km Mbowe, Lowassa, Sumayi na wengine wenye mizizi isiyo safi. Twende turudi upinzani(chadema/cuf) mjitafakari upya hasa vyama vikuu ya upinzani kuweni makini. Mafanikio ya ghafla yataangamiza upinzani nchini jengeni, wafundeni, na kuwalea viongozi vijana kwa ajili ya viongozi wa kesho. Chadema na Cuf zina zaidi ya miaka 20 iweje hazijengi vijana wake kwa kuwapa uwezo kiuongozi, kuwafunda wanaishia kutoa vyeo kwa ndugu, jamaa, marafiki, maslahi, ukanda, na nepotism za ajabu huku wakituacha wenye haki tukilia (usije dhani nina maslahi) mbinu za kisanii, mapigo wanayopata ni mazao ya usaliti wa vijana wanaojituma kupigania na kujenga chama ila hawalipwi na kupewa stahiki za uanachama wao.
Mtanitukana najua, ila ukweli siku zote lazima utamalaki tuu.
As i told you, provide equal platform and assess him accordingly! This one man show game is mere rubbish! Incidentally Im inclined to demand testing of your urine for your political know how!He was there for more than 20yrs, with dr.Slaa CHADEMA was stepping up..! In 2yrs with absences of dr. Mihogo chombo kinaenda mrama![]()
![]()
![]()
Kazi kwelikweli binafsi naamini CCM bora italetwa na CHADEMA(upinzani) na kinyume chake otherwise ni upuuzi mtupu kuamini kuwa kukosekana kwa upinzani makini na mahiri CCM itafanya vyema!
Bonge fallacy sikutaka kusema ni mwanachama wa chama fulani kuepusha upuuzi km huu kudhani nimeandika kwa mlengo fulani, wenda nikawa na upande ila kuna muda nasimama kati kuelezea realities!Mwanzoni umesema wewe mfuasi wa chama fulani lkn hukutaja? Ila huku mbele umejidhihirisha wewe ni yule mfanya usafi jengo la lumumba, usijali palilia ajira yako na hivyo elimu yenyewe ya kuunga unga usipokomaa hapo huku mtaani unaweza shikishwa......... Najua umeelewa msalimie yule msemaji madoido mwendo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli unajitanabaisha vyema, shida kubwa kuna watu wana agenda zao nyuma ya vyama vya siasa!Mtu yeyote anayefuatilia siasa za nchi hii na aliyetoa nje ya mahaba na kuutazama uhalisia ataona kuwa ni wazi zama za Mbowe zimekwisha......
Ni wakati wa kupata mawazo mapya kutoka kwa watu wapya kwa ajili ya afya ya siasa za ushindani kama ilivyokuwa enzi za Dk Slaa......
Lakini mahaba ya kisiasa yamewapofua watu macho hawawezi kuyaona mambo yaliyo bayana machoni mwao........
Ni mtazamo tu.....
SACCOSS ya mbowe, wajanja wameshituka, amebaki mlopokaji lissu ambaye kucha anatuombea mabayaMleta mada umesema Mbowe hajasomea mambo ya siasa, sawa basi tuwekee CV yako kwenye mambo ya kisiasa na usisahau kuambatanisha cheti cha taaluma ya siasa ya mwenyekiti wako mwenye PHD ya uchenjuaji makinikia ya korosho make kumbe kujihusisha na siasa ni hadi usomee!??
Kuna watu wanagoma kutumika kujenga chama afu yeye apate sifa, mfano ni ZITTO, MNYIKA, MSINGWA, NASARI, sasa Lema, wakina lwakatare na wengine wengi kwa macho yasiyo na uono mkubwa wanawaita wasaliti..!Jamaa amekuwa Dormant sana.. Apumzike aachie wenye meno na damu changa awe mshauri tu
Haya mengine uliyo sema juu ya Mbowe hayanihusu
Au la wamuondoe Mashinji kwenye ukatibu mkuu wamuweke mtu active
Wewe ni mpuuzi mkubwa tungekuwa wa Lumumba kufa kwa chandema(kimenishinda kwa wahaya)..! Kingetuuma nini, subiri wabunge mtakao wapoteza 2020 mtaanza kunielewa..!Ni wajinga wa Lumumba tu ndo hufumba macho na kuziba masikio juu ya weledi na umahiri wa Mh Mbowe katika kukabiliana na siasa na ujengaji wa CDM ndani ya Nchi hii licha ukinzani wa kizandiki toka chama tawala.
Tangu ashike hatam za uongozi, chama kimeendelea kuenea na kujenga ushawishi wa kimkakati zaidi kwa utofauti mkubwa kuliko vyama vyote Nchini.
Iko wazi, vijana wengi wamevutiwa kujiunga na chama ktk kipindi cha utawala wa Mbowe. Vijana ambao waliamsha ari, nguvu na kasi mpya ya demokrasia nchini kiasi cha kutishia uhai wa CCM.
Nguvu hizi zilipelekea kuongezeka kwa idadi ya wawakili ndani ya Bunge tofauti na mwanzo.
Bila shaka unakumbuka kipindi kile ccm mliweweseka sana na kuanza kuvuana magamba. Hizo ni matokeo ya mpango mkakati ulio asisiwa chini ya Mbowe.
Chini ya Mbowe, tumeshudia uzandiki mkubwa ukifanywa na CCM. Mintarab kwenye kuhujumu uchaguzi mkuu n.k
Chini ya Mbowe namba ya wabunge imekuwa ikiongezeka kila uchaguzi.
Hakuna aliye mkamilifu, ila jitihada za Mbowe ktk CDM si za kubezwa.
Linganisha wenye viti wote wanaongoza vyama alafu uandike tenaHabari zenu, binafsi nitangaze interest kuwa ni muumini wa democrasia (multipartism) licha ya kuwa ni mwanachama wa chama kimoja cha siasa.
Niseme kwa dhati kabisa nakutoa angalizo kuwa USIONE UKADHANI maana kuona tu hakutoshi kuthibitisha ukweli ( observation isn't enough to reveal the truth). Nasema hivi maana hapa wenda kuna watu siyo muda watanishambulia sababu tu wao wanalinda chama chao na kudhani wengine hatuna vyama ila kuna wakati tunasimama katikati..!
Baada ya maelezo mafupi twende SAKO KWA BAKO kwenye mjadala.
Binafsi namuona mh. Freeman Mbowe kama mzimu au jinamizi lingine linaloikabiri Democrasia ya Tanzania. Wengi hamtanielewa maana hapa ni watu wenye ubongo mkubwa (bigbrain people) ndiyo wataelewa ninachotaka kusema. Sababu ni kama zifuatavyo:-
Kwanza mh. Mbowe hajawahi kuwa mwanasiasa na hawezi kuwa mwanasiasa licha kuwa amebahatika (kiujanjaujanja) kushika madaraka ya kisiasa kwenye chama na bungeni. Nasema hivi maana ukweli ni kuwa mh. Mbowe nje ya maslahi yake ya kibiashara siasa kwake si kitu ni upuuzi mtupu, sasa mtu wa namna hii utasema ni mwanasiasa sababu hana political vision ya kusomea au kuzaliwa huyu jamaa naweza kumtuita MJASIRIA MALI WA SIASA (political entrepreneur man).
Pili kuthibitisha haya kama kuna mtu makini atanielewa, binafsi sijawahi kushiriki siasa za nchi hii kwa maana ya kugombea/kuwanis cheo ndani ya chama cha siasa kiwacho nchini humu au nafasi ya uongo wa umma/serikali ingawa nimufuatiliaji murua/mzuri wa siasa za nchi hii kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Mh. Mbowe anaonekana katika wajihi/wasifu wake wa kisiasa akipanda tu vyeo bila yeye kuonesha ubora wake katika siasa za nchi hii, ni mtu anayefurahia kuvuna asipopanda Mbowe nimjuaye ni mtu ambaye hajawahi kupata political grievances(misukosuko ya kisiasa) hapo kabla ila kwa wakati huu wa mh. Magufuri. na pia hii misukosuko ni yake binafsi zaidi na siyo ya kichama.
Tatu, huu ni ushuhuda kwa wenye macho ya ubongo, Mh. Mbowe tangu utawala wa awamu ya tano(mh. Magu) aingie madarakani amemudu kumnyamazisha sababu alimjua vyema na mbinu rahisi imekuwa ni kucheza maslahi ys huyu jamaa (Mbowe), SIASABIASHARA (politic-business) ndiyo mchezo wa mh. Mbowe ndiyo nikamwita (political entrepreneur man), wafanyacho CCM ni kumshika kwenye maslahi yake naye ameufyata.
Nne, bila shaka mtamkumbuka katibu mkuu wa CHADEMA wa zamani dr. Wilbroad Slaa(maarufu kama DR.MIHOGO-waneno ya wafia chama) alikuwa ni moyo/mtima wa chama cha CHADEMA alifanya mengi yaliyompa sifa yeye na chama chenyewe (CHADEMA), huku mh. Mbowe akibaki kuvuta utamu kwa mrija mrefu aliouchomeka ndani ya mtungi (chadema) mwisho Mh. Mbowe na mchezomchezo wake wa ajabu akamleta LOWASSA alininangwa na ambaye aliaminika kwa maelfu ya wafuasi wa chadema kuwa fisadi mkuu akatumbukia ndani ya mtungi dr. Slaa huyo akasepa alitukanwa sana. Ila madhara sasa hivi mnayaona kumbuka dr. Slaa alionya sana juu ya VIJANA WAPENDA MAGEUZI alisema ni jambo jema ila kutaka mageuzi bila kujua nini unachotaka kugeuza ni kupotea kwa mara ya pili.
Tano, nisiwachoshe, Mh. Mbowe na Mh. Lowassa niwe tu muwazi hawa watu ni sawa karibia kwa kila kitu, sifa nilizompa Mh. Mbowe na Lowassa anazo sasa kazi ya CCM ni nyepesi mno, nijuavyo mh. Lowassa anajus fika hawezi kuchukua nchi hii, ila anachofanya ni kutafuta hifadhi ya kiasiasa kwa ajili ya biashara zake, ni wazi kwa trend ya siasa za hii nchi Lowassa na chadema wanapoteza umaarufu na sababu ccm wanejua namna ya kuwathibiti na palipo na Mbowe na Lowassa yupo pembeni (birds with same color flock together) huu mchezo hauhitaji hasira.
Mwisho nitoe tu angalizo upinzani kuwa na watu wenye kashifa, maslahi binafsi ya kisiasa na ambao system (ccm) inawajua vyema hakika kifo chao hakitaepukika maana ccm knows well the point/angle of their weaknesses.
Jifunzeni kwa wabunge kama Mnyika ni kati ya wabunge wanaopata shida kufanya kazi na viongozi km Mbowe, Lowassa, Sumayi na wengine wenye mizizi isiyo safi. Twende turudi upinzani(chadema/cuf) mjitafakari upya hasa vyama vikuu ya upinzani kuweni makini. Mafanikio ya ghafla yataangamiza upinzani nchini jengeni, wafundeni, na kuwalea viongozi vijana kwa ajili ya viongozi wa kesho. Chadema na Cuf zina zaidi ya miaka 20 iweje hazijengi vijana wake kwa kuwapa uwezo kiuongozi, kuwafunda wanaishia kutoa vyeo kwa ndugu, jamaa, marafiki, maslahi, ukanda, na nepotism za ajabu huku wakituacha wenye haki tukilia (usije dhani nina maslahi) mbinu za kisanii, mapigo wanayopata ni mazao ya usaliti wa vijana wanaojituma kupigania na kujenga chama ila hawalipwi na kupewa stahiki za uanachama wao.
Mtanitukana najua, ila ukweli siku zote lazima utamalaki tuu.
GoodAnalysis nzuri lakini nikikumbuka Mbowe alivyosimamia suala la M1, M2 nk ambapo mmoja sasa ni katibu mkuu na mwingine anautolea mate uwaziri wa nishati, nakubali kuwa huyu bwana ni tool muhimu katika siasa za nchi hii.
Lissu is a Hero, a motivational speaker ever remained in our country and He is proclaiming and prospering the best future of our Nation.SACCOSS ya mbowe, wajanja wameshituka, amebaki mlopokaji lissu ambaye kucha anatuombea mabaya