Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off!

Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off!

Lissu a Hero, a motivational speaker ever remained in our country and He is proclaiming and prospering the best future of our Nation.

Lissu anasisitiza utawala wa kisheria, sio ubabe afanyao mwenyekiti wenu.

Lissu sio wa kufananishwa na matakataka ya Lumumba. Na huyu ameimarika na kuwa kuogopwa chini ya uongozi wa comrade Mbowe.

CCM bila mfumo wenu dume wa kurithishana kiti, hakuna ambaye angedumu kwenye cheo hicho na kuhimiri mikiki mikiki kama jinsi alivyo pambana Mbowe.

Na isingekuwa kuhujumu chaguzi, leo hii Mbowe angekuwa anajivunia kukijenga chama, kuipiga chini CCM na hatimae kuchukua hatam za uongoz... wa nchi.

Kama huamini, tengenezeni fair grounds za uchaguzi mkuu usisimamiwe na wakurugezi wa halmashauri, mruhusu mabadiliko ya katiba na Tume ya uchaguzi iwe huru muone vile ambavyo raia wamewachoka.
MNAFIKI LISU. kwa nini hasiutake huo utawala ndani ya chama chake? swali ndani ya CHADEMA kuna utawala wa sheria? thibitisha
 
Wewe ni mpuuzi mkubwa tungekuwa wa Lumumba kufa kwa chandema(kimenishinda kwa wahaya)..! Kingetuuma nini, subiri wabunge mtakao wapoteza 2020 mtaanza kunielewa..!

Siasa ziko na mbinu nyingi Mh. Mbowe yuko kwenye elastic limit (no more stretch)...!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni jinga kuliko wenzako wote hapo Lumumba.
Unabeza jitihada za Mbowe kwa kumlinganisha na mwenyekiti yupi aliyepita ndani na nje ya CCM?
Ni chama kipi kimeimarika zaidi tangu mkapa atoke madarakani?
Je, haukumbuki kauli za JK akiwaasa wanachama wake kuwa wajiandae kisaikolojia uchaguzi wa 2015? alikuwa anawaasa hivyo baada ya kuona nini?
Je, umesahau kuhusu operation ya kuvuana magamba ndani ya ccm? what were the motives behind these?
Je, mmesahauji jinsi mlivyo weweseka kwenye mchujo wa wagombea ndani ya lichama lenu uchaguzi uliopita? unataka kuniambia athari za mtikisiko ule zililingana na za ndani ya chadema?
 
MNAFIKI LISU. kwa nini hasiutake huo utawala ndani ya chama chake? swali ndani ya CHADEMA kuna utawala wa sheria? thibitisha
Swali, ndani ya CCM kuna utawala wa sheria? kwanini Shibuda alitimkia CHADEMA?
 
Mbona hicho chama kilishakufa siku nyingi. Nadhani ungeshauri tu waje CCM
Ni kweli kabisa chama kilichojifia kama ccm kinachobebwa na polisiccm lkn ukweli utabaki kuwa ukweli bila polisi ccm ni wepesi zaidi ya sufii,na mtoa hoja ungemshauri Mwenyekiti ambae ndio hajui siasa zaidi ya visasi
 
Swali, ndani ya CCM kuna utawala wa sheria? kwanini Shibuda alitimkia CHADEMA?
HAWA WAFUATAO NDO VIONGOZI WANAFIKI
IMG_20161103_093228.jpg
 
Wewe ni jinga kuliko wenzako wote hapo Lumumba.
Unabeza jitihada za Mbowe kwa kumlinganisha na mwenyekiti yupi aliyepita ndani na nje ya CCM?
Ni chama kipi kimeimarika zaidi tangu mkapa atoke madarakani?
Je, haukumbuki kauli za JK akiwaasa wanachama wake kuwa wajiandae kisaikolojia uchaguzi wa 2015? alikuwa anawaasa hivyo baada ya kuona nini?
Je, umesahau kuhusu operation ya kuvuana magamba ndani ya ccm? what were the motives behind these?
Je, mmesahauji jinsi mlivyo weweseka kwenye mchujo wa wagombea ndani ya lichama lenu uchaguzi uliopita? unataka kuniambia athari za mtikisiko ule zililingana na za ndani ya chadema?
Wewe ni mshenzi na mtumwa wa fikra..! Nilijua utashindwa kuruka kijimtego kidogo, tu unakurupuka na kudhani mi wa lumumba akili yako iko limited, naweza nisiwe wa lumumba ila pia nisiwe wa chandema, cuf au chama kingine chochote but still i can fallow and have something to comment on their actions..!.
 
Hakuna wakat CHADEMA wanamhitaji Freeman kama wakati huu. Mapambano anayoongoza Mbowe angekua ni mwenyekiti ceremonial kama wenyeviti wa ACT na CCeM bas pasingekuepo na CDM leo

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Ni kweli kabisa chama kilichojifia kama ccm kinachobebwa na polisiccm lkn ukweli utabaki kuwa ukweli bila polisi ccm ni wepesi zaidi ya sufii,na mtoa hoja ungemshauri Mwenyekiti ambae ndio hajui siasa zaidi ya visasi
Akili ya watu wavivu huwa wanawaza ki-genius namanisha hutafuta simple solutions for persistent problems..!

Kwa iko hivi, mazingira ya siasa hayawezi kuwa yaleyale miaka nenda rudi, kulialia hakutasaidia upinzani..! Think of those freedom fighters what if they wangefikiri km wewe..! Mandela is African hero and world ata large not because he used to be jailed but he was so peculiar katika kupanga mbinu za ukombozi..!

Kama unakichwa kidogo you won't goind to understand me, what am saying about..!
 
Walewale na wewe ukaona upost kijijambo chako jf.
 
There is a saying,"In this world there are no sides only players."

This is applied directly to politics and business
 
Kwenye siasa hamna unafiki ni kutambua tuu kwa maamuzi ya wakati huo ni jambo baya
Hauwezi jua kesho hilo jambo linaweza kuwa zuri
Mfano Leo hii watoto wenye mimba hawaruhusiwi kusoma shule za serikali
Kesho (within 5-10 years hii itakua point)
Itageuzwa nakusemwa mkinichagua watoto wote wataruhusiwa kusoma haijalishi kilema,wenye watoto etc
That's how politics sound
 
Wewe ni mshenzi na mtumwa wa fikra..! Nilijua utashindwa kuruka kijimtego kidogo, tu unakurupuka na kudhani mi wa lumumba akili yako iko limited, naweza nisiwe wa lumumba ila pia nisiwe wa chandema, cuf au chama kingine chochote but still i can fallow and have something to comment on their actions..!.
Siasa za matusi muasisi wake mkuu ni CCM, that's why i easily grouped you are among them.
Look how myopic your chairman is, see how provokative you are!

Naielewa vyema siasa ya nchi hii na upumbavu mliopanga na mnao endelea kutekeleza awamu hii.

Hujiulizi why watu credible kama Kinana and other regendaries wamekaa kimya?
Kwanini Magu anamwandama sana Mbowe tofauti na watangulizi wake?

Mmefanikiwa kumrubuni Lipumba mkadadhani if you impose hurricanic actions against Mbowe's wealth mtakiuwa chama siyo?
Bado mmeshindwa hilo, mkahamia kwenye kuwanunua madiwani ionekane kuwa harakati za bogus wenu zinakubarika?

Awepo Mbowe au nani CDM will stan
 
kwa sasa chadema kama wanataka kuendelea kushika chati wampe lissu uenyekiti.katibu mkuu wake awe heche ama lema au msigwa.mbowe muoga sana siku hizi na babu lowassa.
 
Huyu aliyetoa maada ni chizi tu , anasema chadema imepoa, ingekuwa imepoa Rais angekizuia kisifanye mikutano? Hebu mshaurini Rais aruhusu mikutano ya hadhara miezi sita tu tuone kama kuna MTU ataitaja ccm na Rais. Hakuna kipindi kigumu kwa vyama vya upinzani au siasa kama sasa ambapo ukandamizaji upo juu. Ni kipindi ambacho chadema inamhitaji Mbowe kuliko unavyofikiria.
 
i totally agree! he needs to step down and allow the party to be like its meant to be "opposition party" and not another ccm subsidiary
 
Habari zenu, binafsi nitangaze interest kuwa ni muumini wa democrasia (multipartism) licha ya kuwa ni mwanachama wa chama kimoja cha siasa.

Niseme kwa dhati kabisa nakutoa angalizo kuwa USIONE UKADHANI maana kuona tu hakutoshi kuthibitisha ukweli ( observation isn't enough to reveal the truth). Nasema hivi maana hapa wenda kuna watu siyo muda watanishambulia sababu tu wao wanalinda chama chao na kudhani wengine hatuna vyama ila kuna wakati tunasimama katikati..!

Baada ya maelezo mafupi twende SAKO KWA BAKO kwenye mjadala.

Binafsi namuona mh. Freeman Mbowe kama mzimu au jinamizi lingine linaloikabiri Democrasia ya Tanzania. Wengi hamtanielewa maana hapa ni watu wenye ubongo mkubwa (bigbrain people) ndiyo wataelewa ninachotaka kusema. Sababu ni kama zifuatavyo:-

Kwanza mh. Mbowe hajawahi kuwa mwanasiasa na hawezi kuwa mwanasiasa licha kuwa amebahatika (kiujanjaujanja) kushika madaraka ya kisiasa kwenye chama na bungeni. Nasema hivi maana ukweli ni kuwa mh. Mbowe nje ya maslahi yake ya kibiashara siasa kwake si kitu ni upuuzi mtupu, sasa mtu wa namna hii utasema ni mwanasiasa sababu hana political vision ya kusomea au kuzaliwa huyu jamaa naweza kumtuita MJASIRIA MALI WA SIASA (political entrepreneur man).

Pili kuthibitisha haya kama kuna mtu makini atanielewa, binafsi sijawahi kushiriki siasa za nchi hii kwa maana ya kugombea/kuwanis cheo ndani ya chama cha siasa kiwacho nchini humu au nafasi ya uongo wa umma/serikali ingawa nimufuatiliaji murua/mzuri wa siasa za nchi hii kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Mh. Mbowe anaonekana katika wajihi/wasifu wake wa kisiasa akipanda tu vyeo bila yeye kuonesha ubora wake katika siasa za nchi hii, ni mtu anayefurahia kuvuna asipopanda Mbowe nimjuaye ni mtu ambaye hajawahi kupata political grievances(misukosuko ya kisiasa) hapo kabla ila kwa wakati huu wa mh. Magufuri. na pia hii misukosuko ni yake binafsi zaidi na siyo ya kichama.

Tatu, huu ni ushuhuda kwa wenye macho ya ubongo, Mh. Mbowe tangu utawala wa awamu ya tano(mh. Magu) aingie madarakani amemudu kumnyamazisha sababu alimjua vyema na mbinu rahisi imekuwa ni kucheza maslahi ys huyu jamaa (Mbowe), SIASABIASHARA (politic-business) ndiyo mchezo wa mh. Mbowe ndiyo nikamwita (political entrepreneur man), wafanyacho CCM ni kumshika kwenye maslahi yake naye ameufyata.

Nne, bila shaka mtamkumbuka katibu mkuu wa CHADEMA wa zamani dr. Wilbroad Slaa(maarufu kama DR.MIHOGO-waneno ya wafia chama) alikuwa ni moyo/mtima wa chama cha CHADEMA alifanya mengi yaliyompa sifa yeye na chama chenyewe (CHADEMA), huku mh. Mbowe akibaki kuvuta utamu kwa mrija mrefu aliouchomeka ndani ya mtungi (chadema) mwisho Mh. Mbowe na mchezomchezo wake wa ajabu akamleta LOWASSA alininangwa na ambaye aliaminika kwa maelfu ya wafuasi wa chadema kuwa fisadi mkuu akatumbukia ndani ya mtungi dr. Slaa huyo akasepa alitukanwa sana. Ila madhara sasa hivi mnayaona kumbuka dr. Slaa alionya sana juu ya VIJANA WAPENDA MAGEUZI alisema ni jambo jema ila kutaka mageuzi bila kujua nini unachotaka kugeuza ni kupotea kwa mara ya pili.

Tano, nisiwachoshe, Mh. Mbowe na Mh. Lowassa niwe tu muwazi hawa watu ni sawa karibia kwa kila kitu, sifa nilizompa Mh. Mbowe na Lowassa anazo sasa kazi ya CCM ni nyepesi mno, nijuavyo mh. Lowassa anajus fika hawezi kuchukua nchi hii, ila anachofanya ni kutafuta hifadhi ya kiasiasa kwa ajili ya biashara zake, ni wazi kwa trend ya siasa za hii nchi Lowassa na chadema wanapoteza umaarufu na sababu ccm wanejua namna ya kuwathibiti na palipo na Mbowe na Lowassa yupo pembeni (birds with same color flock together) huu mchezo hauhitaji hasira.

Mwisho nitoe tu angalizo upinzani kuwa na watu wenye kashifa, maslahi binafsi ya kisiasa na ambao system (ccm) inawajua vyema hakika kifo chao hakitaepukika maana ccm knows well the point/angle of their weaknesses.

Jifunzeni kwa wabunge kama Mnyika ni kati ya wabunge wanaopata shida kufanya kazi na viongozi km Mbowe, Lowassa, Sumayi na wengine wenye mizizi isiyo safi. Twende turudi upinzani(chadema/cuf) mjitafakari upya hasa vyama vikuu ya upinzani kuweni makini. Mafanikio ya ghafla yataangamiza upinzani nchini jengeni, wafundeni, na kuwalea viongozi vijana kwa ajili ya viongozi wa kesho. Chadema na Cuf zina zaidi ya miaka 20 iweje hazijengi vijana wake kwa kuwapa uwezo kiuongozi, kuwafunda wanaishia kutoa vyeo kwa ndugu, jamaa, marafiki, maslahi, ukanda, na nepotism za ajabu huku wakituacha wenye haki tukilia (usije dhani nina maslahi) mbinu za kisanii, mapigo wanayopata ni mazao ya usaliti wa vijana wanaojituma kupigania na kujenga chama ila hawalipwi na kupewa stahiki za uanachama wao.

Mtanitukana najua, ila ukweli siku zote lazima utamalaki tuu.
Waambie waliokutuma haiwahusu na wewe hayakuhusu. Kivingine washauri waliokutuma unaweza kuwasaidia.
 
Nonsense,
Ccm inahenyeshwa na nani?
Kama si CHADEMA chini ya Uingizi wa MWENYEKITI WAO MBOWE?

Hata kama wewe ni tahira anayetokwa namate ovyo unatambua MBOWE ni mwanasiasa mahiri.

Uwezo wake, Ubunifu wake, umeifanya ccm haiwezi kujimudu kuvaa suruali yake ya zamani maana imekonda mnooo.

ccm haiwezi tena siasa za Demokrasia ndio maana inajitahidi kutimia ubabe wa polisi ili angalau izibe midomo ya wapinzani.

KWENYE SIASA HUWEZI HATA KUMLINGANISHA MBOWE NA MAGUFULI, Rais wa awamu ya tano anapwaya kwa uendeshaji wa siasa za demokrasia.

Hana ubavu wa kukabiliana na Wapinzani team MBOWE MAJUKWAANI atagaragazwa ike mbaya.

Wewe acha chuki zako binafsi dhidi ya MBOWE.
 
Siasa za matusi muasisi wake mkuu ni CCM, that's why i easily grouped you are among them.
Look how myopic your chairman is, see how provokative you are!

Naielewa vyema siasa ya nchi hii na upumbavu mliopanga na mnao endelea kutekeleza awamu hii.

Hujiulizi why watu credible kama Kinana and other regendaries wamekaa kimya?
Kwanini Magu anamwandama sana Mbowe tofauti na watangulizi wake?

Mmefanikiwa kumrubuni Lipumba mkadadhani if you impose hurricanic actions against Mbowe's wealth mtakiuwa chama siyo?
Bado mmeshindwa hilo, mkahamia kwenye kuwanunua madiwani ionekane kuwa harakati za bogus wenu zinakubarika?

Awepo Mbowe au nani CDM will stan
Politics is a tactical game, and the only thing you can do is to time a minutes to study yr opponent team after game take off..!
 
mpeni uraisi wa nchi nyau nyie anawapa headache coz mmeshindwa kumnunua eeeh
 
Back
Top Bottom