Unajua kabla Miguna Miguna hajawa kambi ya Raila ule uchaguzi ambao Raila alikuwa anashiriki kama waziri mkuu mstaafu Miguna alikuwa anamchukilia vipi? Emb fuatilia kisha ujue tofauti zilizopo.."Come baby come..I have all things right here..." Unajua huo msemo ulitoka wapi? Uwe unafuatilia kwanza kabla ya kulipuka!
Wajing.a mnajuana! Endeleeni kujifariji JF.
Hebu fanyeni hata tafiti kidogo ndipo mtagundua appearance ya KUB kwenye sherehe za uhuru ni maazimio yaliyopitishwa na kamati kuu ya Chadema na sio maamuzi binafsi ya Kamanda Mbowe na taarifa ya kamati kuu ipo ilisambazwa.
Lakini sawa hii kwakua hata katika kuahirisha uchaguzi wa chama kitaifa Ni msajili wa vyama ndio alitoa tishio ndio mkatoa miniti za kikao kwamba mmeridhiana kusogeza uchaguzi hadi desemba.Wewe na wenzako wote hamjui chochote kinachoendelea kwa sasa..kama hujui kitu kubakia kimya nayo ni busara.
Tutaacha vipi kumzungumzia Mbowe, ilihali yeye niye Mwenyekiti, yeye ndiye Mkuu wa kuteua (lisu kuchukua fomu ya ugombea umakamu)Ni bahati mbaya sana watu hawajadili hoja iliyotolewa na Chadema (kupitia mdomo wa Mbowe) na wanamjadili Mbowe kama vile hoja ile ni yake katika nayo nyumbani au anatabia kama za Magufuli kutoa kauli za kisera tokea kichwani mwake bila ridhaa ya chama.
Nchi kwa wale walioitembelea na kuifahamu vyema ni kuwa imekwisha bomoka bado kidogo tuu migogoro chungu nzima itaibuka kila upande hasa baada ya uchaguzi wa SM.
Watu waliochomekewa viongozi huko vijijini wana uelewa na kimeanza kuwaka maeneo mbalimbali kuwakataa.View attachment 1287773
Haya tueleze wewe mwenye akili uliyebwabwaja bila kutoa hoja yenye akili, Mbowe aliomba maridhiano gani?Wapinzani wa nchi hii ni wapumbav* sana sijawahi kuona. Inakuwa je unalinganisha Hand Shaking ya Odinga na Kenyatta na ombi la Mbowe kwa JPM?
Hivi mkiulizwa ni maridhiano gani mbowe walikuwa anaomba MNA jibu?
Msivyo na akili mtasema uminywaji wa Demokrasia. Je Chadema kuna Demokrasia?
very trueMbowe siyo mpinzani. Mbona kila mambo yakitaka kuiva anabadili gia angani? Hivi unajua asingebadili gia angani 2015 chadema ingekuwa ikikoroma JPM angekuwa anaufyata. Maana morali ya vijana ilikuwa juu sana under Dr Slaa. Walikuwa tayari kwa lolote. Baada ya yy kutoka vijana morali imekufa mnabakia na kuomba poo
Mfano Magu akikataa atafanyaje?Mkuu umeongea vema.
Mbowe na wanao mpondea hili wazo lake la maridhiano nawafananisha Luther King Jr na Malcolm X.
Mbowe ni kama Luther King Jr na wakosoaji wake ni kundi la Malcolm X.
Wakati fulani lazima utumie njia za kidiplomasia zaidi kulingana na mazingira ya vita na aina ya adui wako na nyenzo zake.
Nasimama na Mbowe, maridhiano sio kushindwa vita.
Basi hapo wapinzani watakuwa wameongeza point muhimu za kuthibitisha hakuna demokrasia , na wenye dhamana hawana nia ya kufikia muafaka wa kuondoa tatizo.Mfano Magu akikataa atafanyaje?
Hivi Kamati Kuu ya Leo ni nani? Mrema?Lile halikuwa swala la mbowe Bali kamati kuu ya chama chao.