stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,405
- 3,554
Nataka nikupinge nikakumbuka nilipinga Makonda hawezi kuteuliwa kwa mabaya aliyofanya kipindi cha Magufuli. Naomba tusubiri ahame ndio tuchambue na si kuzusha mambo.Wanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi.
Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa mnawashwa nini na mambo ya vyama vya watu wengine?
View attachment 3428057
Aende kwani ana faida gani?Wanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi.
Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa mnawashwa nini na mambo ya vyama vya watu wengine?
View attachment 3428057
Wanaukumbi.

Mbowe ni mfanyabiasharaMheshimiwa Dr Mboe karibu sana CHAUMMA tule ubwabwa huku tukimnadi mgombea wetu Dr Mwalimu. Ubwabwa safiii.
** Ikibidi zili bilioni nunua nyumba nyingine hata tatu DUBAI. Game haielewek i hii wasije kukufilisi kama ile klabu yako
Hii Dr. Mboe ni ya wapi? Mjomba wako? Mbona haijulikani.Mheshimiwa Dr Mboe karibu sana CHAUMMA tule ubwabwa huku tukimnadi mgombea wetu Dr Mwalimu. Ubwabwa safiii.
** Ikibidi zili bilioni nunua nyumba nyingine hata tatu DUBAI. Game haielewek i hii wasije kukufilisi kama ile klabu yako
Toba mama wee, JF hili nyangarakasha mmeliokota wapi!Mboe Jenna hapa Tz hata uajiri vjana na sio kujenga Dubai
Tumelitoa kutoka kwa mama yako mzazi.Toba mama wee, JF hili nyangarakasha mmeliokota wapi!