johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,534
Anaenda halafu dipipii anamuachilia Lisu na Chadema inaingia uchaguziniHawezi, akifanya hivyo, maana atakuwa ni mwanasiasa wa HOVYO kupata kutokea hapa Tanganyika.
Inasajiliwa kesho 😂😂😂Hii CHAMMA ina usajili?
Naona umeileta hii ili ionekane unajua taarifa za ndani. Mbowe yuko Chauma toka siku ameukosa uenyekiti wa cdm. Hapa ulichofanya ni sawa na kusema unatabiri jua kesho litatoka mashariki kwenda magharibi.Wanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi.
Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa mnawashwa nini na mambo ya vyama vya watu wengine?
Huna akili kweli wewe, yaani mtu aliyekuwa anaongoza chama chenye wanachama zaidi ya milioni 10 leo akaonoze kikundi cha watu wasiozidi 100 unaona hiyo ni busara?Chadema bana mnajipa umuhimu wa kuamua jinsi ya kufikiri kwa watu,kuwaza kwao, kumuunga mkono nani na kwa nini! Yaani CHADEMA hawa waliokuwa wanamuimba Lowassa ni fisadi kwa miaka zaidi ya kumi waligeuka na kusema ni mtu safi sana mwaka 2015 na kuwataka watanzania na nyumbu wao wampigie kura!Na kwa kweli walifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kwenye hilo na waliweza kushika akili nyumbu wengi sana.
waambie wale wanaoamini mtu badala ya chama....Siwezi kuamini wana siasa wa nchi hi hata siku moja.
HAKUNA CHAMA KISAFI..SIASA NI UTAPELI KAMA UTAPELI MWINGINE..Chadema bana mnajipa umuhimu wa kuamua jinsi ya kufikiri kwa watu,kuwaza kwao, kumuunga mkono nani na kwa nini! Yaani CHADEMA hawa waliokuwa wanamuimba Lowassa ni fisadi kwa miaka zaidi ya kumi waligeuka na kusema ni mtu safi sana mwaka 2015 na kuwataka watanzania na nyumbu wao wampigie kura!Na kwa kweli walifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kwenye hilo na waliweza kushika akili nyumbu wengi sana.
Tatizo tunamdai kwa kutupotezea mda wetuWanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi.
Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa mnawashwa nini na mambo ya vyama vya watu wengine?
..Nani aliyekusmbia CHADEMA kuwa Wanamtuka Mbowe amehamia CHAUMMA wakati wewe ndio Umeleta tetrsi za kuhamia kwake CHAUMMA? Wewe uko CHAUMMA ee? HujiaminiWanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi.
Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa mnawashwa nini na mambo ya vyama vya watu wengine?
View attachment 3428057
Ni wachache mnoo wa kuwaamini...Lissu ni mmojawapo kama sio pekee, mpinzani wa kweli asiyeyumba!!.Siwezi kuamini wana siasa wa nchi hi hata siku moja.
Jiulize baada ya Lowasa kuingia chadema Dr Silaa alienda wapi?Chadema bana mnajipa umuhimu wa kuamua jinsi ya kufikiri kwa watu,kuwaza kwao, kumuunga mkono nani na kwa nini! Yaani CHADEMA hawa waliokuwa wanamuimba Lowassa ni fisadi kwa miaka zaidi ya kumi waligeuka na kusema ni mtu safi sana mwaka 2015 na kuwataka watanzania na nyumbu wao wampigie kura!Na kwa kweli walifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kwenye hilo na waliweza kushika akili nyumbu wengi sana.
Wamekuwa makamanda uchwara kwa sasa. Si wamuache huyo Mbowe afanye maamuzi yake kidemokrasia?CHADEMA WANA WASHWA WASHWA SANA
Sio wa Nchi hii tu, Wanasiasa wote mtaji wao ni Siasa na Siasa "Platform Vehicle" yake ni vyama. Rejea Kenya akina Kilonzo Musyoka na Mudavadi leo unamsikia yupo huku kesho kule. Hapa kwetu hatujazoea hayo kwa kuwa ndani ya vyama hawaparuani sana hivyo kunakuwepo na longetivity ya kuwemo ndani ya vyama.Siwezi kuamini wana siasa wa nchi hi hata siku moja.