Exaud Mamuya
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 403
- 242
Ikiwa imebaki siku moja ya kufanya kampeni then siku ya jumapili 16 kupiga kura, siku ya kesho jumamosi 15 Arusha na viunga vyake itazizima baada ya ujio wa kamanda wa anga mh Freeman Aikael Mbowe atakapokuwa anafanya mikutano ya kufanga kampeni na hatimaye kupiga kambi hapa Arusha mpaka kumalizika kwa uchaguzi na kutangazwa kwa washindi ambapo kwa asilimia 80 watakuwa ni madiwani wa Chadema.
Makamanda mnahamasishwa kujitokeza kwa wingi kumpokea kamanda wetu mkuu na pia kama mwana mtandao unaombwa kumkumbusha yeyote unayemjua ambaye anaishi au alijiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura katika kata ya Temi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai kujitokeza asubuhi na mapema kupiga kura na hatimaye kuchunga kura yake ili tumkimbize Mwigulu kama tulivyomfanya katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Arumeru Mashariki.
Mungu ibariki Chadema, Mungu ibariki Arusha, Mungu ibariki Tanzania.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums