Freeman Mbowe kufunga kampeni za uchaguzi wa madiwani Jijini Arusha

Exaud Mamuya

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
403
242
Ikiwa imebaki siku moja ya kufanya kampeni then siku ya jumapili 16 kupiga kura, siku ya kesho jumamosi 15 Arusha na viunga vyake itazizima baada ya ujio wa kamanda wa anga mh Freeman Aikael Mbowe atakapokuwa anafanya mikutano ya kufanga kampeni na hatimaye kupiga kambi hapa Arusha mpaka kumalizika kwa uchaguzi na kutangazwa kwa washindi ambapo kwa asilimia 80 watakuwa ni madiwani wa Chadema.

Makamanda mnahamasishwa kujitokeza kwa wingi kumpokea kamanda wetu mkuu na pia kama mwana mtandao unaombwa kumkumbusha yeyote unayemjua ambaye anaishi au alijiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura katika kata ya Temi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai kujitokeza asubuhi na mapema kupiga kura na hatimaye kuchunga kura yake ili tumkimbize Mwigulu kama tulivyomfanya katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Arumeru Mashariki.

Mungu ibariki Chadema, Mungu ibariki Arusha, Mungu ibariki Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Well noted Kamanda!
Hawa jamaa wa magamba wamekuwa hapa mwezi mzima, mbowe anakuja kwa siku moja anafunga kazi, akina Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Agrey Mwanry, Ole Medeye, Godfrey Mwalusamba na Jangili Kinana simu zao ziwe hewani muda wote wa kutangaza matokeo
 
Last edited by a moderator:
sipati picha kichapo ccm watakacho ambulia................kila la heri makamanda
 
Kama kawaida, hakuna kukosea wanaapolo, la muhimu ni kulinda kura, hakuna kulala...
 
hata uchaguzi wa madiwani mwenyekiti wa chama anapiga kampaini,chadema mmeishiwa hoja.
 
Uongozi wote wa juu wa ccm taifa umehamia hapa Arusha kuanzia Katibu Mkuu, Katibu Mkuu Msaidizi, Katibu Mwenezi, wakisaidiwa na Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mawaziri, Mkuu wa Polisi wa Mkoa na Wilaya wote wamehamia Arusha. ndiyo useme wao ndiyo wanahoja.

Ujue kama ccm wanavyotambua umuhimu wa uchaguzi huu wa Arusha, CHADEMA nao wanatambua kuwa uchaguzi huu wa kata nne una maana kubwa sana hasa linapokuja suala la ushindi ambao CHADEMA kimsingi wameshamaliza kazi yao!
 
Ikiwa imebaki siku moja ya kufanya kampeni then siku ya jumapili 16 kupiga kura, siku ya kesho jumamosi 15 Arusha na viunga vyake itazizima baada ya ujio wa kamanda wa anga mh Freeman Aikael Mbowe atakapokuwa anafanya mikutano ya kufanga kampeni na hatimaye kupiga kambi hapa Arusha mpaka kumalizika kwa uchaguzi na kutangazwa kwa washindi ambapo kwa asilimia 80 watakuwa ni madiwani wa Chadema.

Makamanda mnahamasishwa kujitokeza kwa wingi kumpokea kamanda wetu mkuu na pia kama mwana mtandao unaombwa kumkumbusha yeyote unayemjua ambaye anaishi au alijiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura katika kata ya Temi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai kujitokeza asubuhi na mapema kupiga kura na hatimaye kuchunga kura yake ili tumkimbize Mwigulu kama tulivyomfanya katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Arumeru Mashariki.

Mungu ibariki Chadema, Mungu ibariki Arusha, Mungu ibariki Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Wewe ni kama karai la kujengea nyumba kazi yake ikimalizika linatupwa nje utaendelea kutumika na kuwafagilia wanaume wenzako lakini hata ukigombea uenyekiti wa serikali za mitaa hao chadema hawawezi kukupitisha maana wanaujua uwezo wako ulivyo mdogo.
Sasa basi naomba umwambie mr zero akishafunga kampeni jumamosi asiondoke mpaka matokeo yatoke ili aone namna ccm itakavyomgalagaza kama hajaondoka usiku kwa usiku.
 
Utter nonsense spoken out of ignorance..,
 
Kama ID yako inavyoonyesha................... kilombero. Sishangai kutamka maneno hayo. Bado hujui chichiem ilipotufikisha!
Unaridhika na kofia na vitisheti ambavyo mnatunza kusubiri kipindi cha chaguzi ndo mnazitinga!
Hivi tambwe hiza yuko wapi? Magamba ni jadi yao kugeuza watu karai la kujengea.............. muda c mrefu yatawakuta choza na mapambo!
 
Back
Top Bottom