Freeman Mbowe: Kiongozi wa Chama cha siasa kutokea Afrika anayeheshimika zaidi Duniani

Hata jina lake anaitwa Freeman

Its not over until its over...
 
Nimejikuta nimeondoa stress,hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Kwa hekima na uvumilivu huyu mtu ni kweli Yuko vizuri mno, binafsi namheshimu na kupenda siasa zake

Ukiondoa hayo, ni mlaji wa kila kitu, hasazi uwe ni KE anakula, hayo Ni maneno ya wabunge wake hasa wale kuteuliwa
 
Lumumba wakisikia jina la Mbowe wanaanza kuhalisha subiri maushuzi yao
 
Hahahaaa!! Mna tofauti gani na CCM wanaomsifu Magufuli kuwa Rais Bora Africa Kama siyo duniani kote?

Kiuhalisia Mbowe Ni mbabe wa kisiasa ndani ya Chama chake, no democracy in Chadema, ila nyie wafuasi wake wa karibu mnaonufaika lazima mtafute namna ya kumfurahisha boss wenu.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakoloni wameendelea kutumia kwa kutugonganisha sisi kwa sisi mpaka kufikia Sasa mwafrika yuko tayari kumtesa mwafrika mwenzake nafuu ya mbwa Koko ili tu kubaki madarakani ama kumwondoa mwenzake madarakani huku akipewa ahadi ya ulinzi na yeye kutoa sehemu ya nchi yake kwa wakoloni. Itachukua muda kulifahamu hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…