Freeman Mbowe anatumia mbinu gani za kiuongozi?

Kwahiyo b7 imeshaingia tayari??? Alafu uwe na akili japo ndg, hv huoni mbowe ndo ana mkontrol mama yenu pale mjengoni ?? Kasema anataka makamanda wote waliokuwa wamefungwa waachiwe na wameachiwa kweli, kasema anataka mikutano ya hadhara bila masharti na kweli mikutano hiyooo , kasema anataka mchakato wa katiba mpya uanze mara Moja na kweli mchakato huooooo ... Alimtaka mama kwenye maandamano ya chadema polisi wayalinde na kweli polisi wametiiiii ... Hv Bado tu unamuona huyo mtu ni wa kawaida???? Mbowe ndo JK wa Pili [emoji28], shauri yako... ukitaka uteuzi hapo Lumumba weee muone mbowe akufanyie mpango kwa mama Samia ...ohooo
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya chadema ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!
Mbowe sio tu anaiongoza chadema, mbowe anaiongoza hadi ccm kwa sasa... ccm haifanyi maamuzi bila kumsikiliza mbowe anasemaje... Weee endelea kukariri kuwa alifeli form six , shauri yako
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya chadema ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!
Hizi ni akili za kuskilizia kama una mavi ukanye haziwezi kukusaidia kufanya chochote zaidi ya usijinyee
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya chadema ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!

Give money few most influential figures within CHADEMA and then, tell them your policy, and they will sell to followers.. Is that all? No wait, add ethnicity, zonal politics, select loyal figures only even if we give nothing but we give them empty promises, empty hopes that one day CHADEMA will win and lead the country..

Is that all? Nooo, wait, i am still in, this is business, is not only politics to Mbowe family & Co.... take huge money from most influential CCM presidential candidates drop out who want to join CHADEMA and run for Presidential seat, yaani mzigo wa kutosha ukitolewa, paap huyo hata kama ni CCM anakuwa CHADEMA dakika hiyo hiyo na kumpa nafasi ya kugombea urais.. This business is real one..!!
 
Kazi yangu nikusoma coment za watu tu zinafurahisha.Wivu wa sukuma gang nikuto kualikwa kwenye futari ya v.p kamala ikuru akaalikwa mbowe tu
Kwa akili hizi ndio maana mnaongozwa na mbowe.
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya chadema ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!
Screenshot_20230401-203059.png
 
Amejenga wapi ofisi ya chadema?
Wewe mpuuzi hata ikiwa unamchukia Mbowe mpaka upasuke msamba haibadili kitu.
Wenye Chadema wanamkubali na ameitumika kwa kadri wanavyohitaji.
Hata hao viongozi katika chama unachojinadi kuwa chako hawakutambui lakini Mbowe wanamtambua na mchango wake katika demokrasia ya nchi hii unafahamika ndani na nje ya nchi.
Chuki zako hazikusaidii sio wewe tuu hadi hata mama yako maana ukinuuliza zimemsaidiaje atakushangaa tuu.
Jifunze kuwa na mawazo productive, huu upuuzi uliokujaa hauna faida yeyote.
Mbowe ataendelea kutambulika na kukubalika labda abadili uelekeo na kutenda mambo ya hovyo.
JamiiForums1464839107.jpg
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya chadema ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!

Chawa umeeleweka
 
Give money few most influential figures within CHADEMA and then, tell them your policy, and they will sell to followers.. Is that all? No wait, add ethnicity, zonal politics, select loyal figures only even if we give nothing but we give them empty promises, empty hopes that one day CHADEMA will win and lead the country..

Is that all? Nooo, wait, i am still in, this is business, is not only politics to Mbowe family & Co.... take huge money from most influential CCM presidential candidates drop out who want to join CHADEMA and run for Presidential seat, yaani mzigo wa kutosha ukitolewa, paap huyo hata kama ni CCM anakuwa CHADEMA dakika hiyo hiyo na kumpa nafasi ya kugombea urais.. This business is real one..!!
Hujui lolote.
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya chadema ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!
Kuongoza mbumbumbu
 
Back
Top Bottom