Freeman Mbowe anatumia mbinu gani za kiuongozi?

Freeman Mbowe anatumia mbinu gani za kiuongozi?

Unahoji wabunge 100 mpaka 1, yaulize majambazi ya CCM mnayo yashangilia huku mkiendelea Kuwa maskini wa kutupa Kila siku, mmebaki na ajira za uchawa tuu
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya CHADEMA ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!
Mama Abdul hata form six hakufika
 
KAMA UNATUMIA TIGO NIBORA UTOE 40K ILA UOKOE HELA UNAZONUNUA DATA&DK KWA MIAKA MIWILI (GB48 KILA MWEZ+DK 2000)[emoji419]

Watumiaji wa tigo njoo nikuunge huduma hii uwe unapewa gb 48 na dk 2000 kila mwezi kwa miaka miwili, huduma hii sahivi unaungwa pekeyako na sio kikundi ( pia kuna Gb35 kwa sh. 30000 na gb 30 kwa sh.25000 )

Uhakika na usalama wapesa yako ni100% mana hela unailipa direct Tigo kama unavyojiunga na vifurushi vingine, mm nakupa maelekezo tu ya kujiunga, ( ukijiunga nalipwa na tigo ).

kama ukitaka kujiridhisha nikishakupa maelekezo unaweza kupiga 100 uulizie ujiridhishe kabla ya kulipia.

HUNITUMII HELA YOYOTE HATA MIA!

Karibu hata mitandao ya halotel voda na Airtel uniulizie tu nikupe maelekezo bure!

0717700921

Huduma nzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom