Freeman Mbowe anatumia mbinu gani za kiuongozi?

Freeman Mbowe anatumia mbinu gani za kiuongozi?

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,889
Reaction score
8,486
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya CHADEMA ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri y chadema umemshinda kwa miaka 30 aliyoongoza chama.
Anaroga yule
 
wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya chadema ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!
Akili za kuvukia barabara hizi. Kujenga ofisi ni uchumi??

Tulikuwa na mwenyekiti wa chama fulani ambaye ni mshamba, limbukeni na muuaji akawa rais akaanza kupora fedha na kutaka kubadilisha Kijiji chake kuwa jiji hatukusema tukakaa kimya. Sukuma gang upo??
 
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri ya chadema ameshindwa kwa miaka 30 aliyoongoza chama.!
Waja4 wa Kayafa...
 
Akili za kuvukia barabara hizi. Kujenga ofisi ni uchumi??

Tulikuwa na mwenyekiti wa chama fulani ambaye ni mshamba, limbukeni na muuaji akawa rais akaanza kupora fedha na kutaka kubadilisha Kijiji chake kuwa jiji hatukusema tukakaa kimya. Sukuma gang upo??
Uthibitisho mzee hacha kuropoka tu.
 
Back
Top Bottom