Freeman Mbowe amuandikia barua Askofu Mwamakula

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,758
218,375
Hii hapa

Ujumbe_aliouandika_Mkiti_wa_Chadema_Taifa_Mh._Freeman_Mbowe_akiwa_mahabusu_gerezani_kwenda_kwa...jpg
 
abakie huko huko gerezani.
mchafuzi wa amani yetu hatumtaki huku uraiani.
alitumia vibaya uenyekiti wake kwa kuandaa majambazi, wahuni, wavuta bangi, wauzaji, wajeuri, wahalifu wa kila aina
 
abakie huko huko gerezani.
mchafuzi wa amani yetu hatumtaki huku uraiani.
alitumia vibaya uenyekiti wake kwa kuandaa majambazi, wahuni, wavuta bangi, wauzaji, wajeuri, wahalifu wa kila aina
Mbowe ndio nguzo ya amani hiyo unayodhani unailinda kwa kumsingizia ugaidi , huyo mwamba akikohoa tu kwamba kinuke jua Tanzania imekwisha
 
Back
Top Bottom