Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,892
Maccm wote ni wasaka fursa!
Huko aliko hata ungekuwa wewe usingeweza kuandika chochote.Sina shaka na kilichomo ndani.
Mashaka yangu ni hiyo barua. Haina formalities yoyote. Sijui ni aina gani ya barua..Halafu ameandika mwenyewe then anaweka quotation marks? Duh hatari.
Hii barua haikupaswa itolewe na Mwenyekiti, mtu mkubwa kabisa. Haina address yaani ni hovyo bin taabani.
Wasaidizi wake jitahidini asaidiwe Mwenyekiti.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huyu naona anaweweseka Sana,asubiri kikombe Cha mateso akinywee,naona anatafuta huruma toka kwa watumishi wa kiroho,hakuna mtu awaye aliyepanda bangi na mwisho wa siku akavuna mahindi,yampatayo huyu bwana Ni stahili zake kutokana na matendo yake maovu
Jela ni chuo cha mafunzo- inategemea unataka kujifunza nini. Mzee wangu alinipa uzoefu wake; akiwa kizuizini alipata mda mzuri sana wa kusoma biblia na alijifunza jambo moja kuu- HESHIMU MAMLAKAAnaita wenzake wajinga wakati alilamba zero ),,leo mlevi aliyekubuhu na mzinzi anataka ukombozi wa kiroho kweli jela sio mchezo
USSR
Anasubiri nini sasa?Mbowe ndio nguzo ya amani hiyo unayodhani unailinda kwa kumsingizia ugaidi , huyo mwamba akikohoa tu kwamba kinuke jua Tanzania imekwisha
Mimi nimeisoma vizuri tu, inamtaka aliombee uponyaji Tanzania.Haifunguki nitumie inbox
Mboe ni nguzo ya uhalifu, alikuwa amewaandaa vijana kuwa wahalifu wa aina zote ndio maana aliwarubuni kina Bwire, Lingwenya na wengine wengi tusio wajua ili kuhujumu serikali.Mbowe ndio nguzo ya amani hiyo unayodhani unailinda kwa kumsingizia ugaidi , huyo mwamba akikohoa tu kwamba kinuke jua Tanzania imekwisha
Aliesoma na atuwekee content basi! Wote tulioshindwa kuifungua tusome!
Masihara hayo.Mbowe ndio nguzo ya amani hiyo unayodhani unailinda kwa kumsingizia ugaidi , huyo mwamba akikohoa tu kwamba kinuke jua Tanzania imekwisha
Muandiko mzuri vile.Ieleweke kuwa anaandika katika mazingira magumu. Anaandika akiwa ndani ya karandinga kama habusu
Matusi kama haya Huwa hayavumiliki..... assume baba ako mzazi mtu amdhikaki hivyo......Anaita wenzake wajinga wakati alilamba zero ),,leo mlevi aliyekubuhu na mzinzi anataka ukombozi wa kiroho kweli jela sio mchezo
USSR
mbowe hati yake simchezo ,very good handwriting hata askofu itakua haikumsumbua kusoma
Hana ubavu huo.Mbowe ndio nguzo ya amani hiyo unayodhani unailinda kwa kumsingizia ugaidi , huyo mwamba akikohoa tu kwamba kinuke jua Tanzania imekwisha
Baeleze na ubaambie hao lumumbaMbowe ndio nguzo ya amani hiyo unayodhani unailinda kwa kumsingizia ugaidi , huyo mwamba akikohoa tu kwamba kinuke jua Tanzania imekwisha
Ahahahahahahahahaha,nimejikuta tu nacheka niliposoma hii postMbowe ndio nguzo ya amani hiyo unayodhani unailinda kwa kumsingizia ugaidi , huyo mwamba akikohoa tu kwamba kinuke jua Tanzania imekwisha