Freeman Mbowe amuandikia barua Askofu Mwamakula

Freeman kaiandika kimaono sana barua hiyo.......

Naam Taifa linahitaji kiongozi wa hivyo zaidi kuliko usisiemu wala uchadema
 
Sina shaka na kilichomo ndani.
Mashaka yangu ni hiyo barua. Haina formalities yoyote. Sijui ni aina gani ya barua..Halafu ameandika mwenyewe then anaweka quotation marks? Duh hatari.

Hii barua haikupaswa itolewe na Mwenyekiti, mtu mkubwa kabisa. Haina address yaani ni hovyo bin taabani.

Wasaidizi wake jitahidini asaidiwe Mwenyekiti.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ieleweke kuwa anaandika katika mazingira magumu. Anaandika akiwa ndani ya karandinga kama habusu
 
Hahhahahahaa, hebu ninyamaze maana mnachekesha sana.

Muda wa kuandika hiyo mnayoiita barua alipata wapi?

Hiyo hata sifa ya kuitwa memo haina.

Labda notice nayo sioni.

Kwa ufupi haieleweki halafu mmesambaza mitandaoni kwa kuiita ni barua.

What a shame!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sina shaka na kilichomo ndani.
Mashaka yangu ni hiyo barua. Haina formalities yoyote. Sijui ni aina gani ya barua..Halafu ameandika mwenyewe then anaweka quotation marks? Duh hatari.

Hii barua haikupaswa itolewe na Mwenyekiti, mtu mkubwa kabisa. Haina address yaani ni hovyo bin taabani.

Wasaidizi wake jitahidini asaidiwe Mwenyekiti.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unadhani kaiandika akiwa makao makuu ya chama?

Hizi shule siku hizi sijui mnasomea nini
 
You're very ignoramus!!

Unapoandika barua official ukiwa chooni haiwi official????

Let's be serious.

Hiyo barua hata mtu wa memkwa hawezi kuandika upupu kama huo. Halafu msiwe wabishi hizi ni profession siyo politics.

Tofautisheni Kati ya professionalism na politics!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
You're very ignoramus!!

Unapoandika barua official ukiwa chooni haiwi official????

Let's be serious.

Hiyo barua hata mtu wa memkwa hawezi kuandika upupu kama huo. Halafu msiwe wabishi hizi ni profession siyo politics.

Tofautisheni Kati ya professionalism na politics!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unateseka ukiwa wapi boss?
 
Back
Top Bottom