BAVICHA Taifa
Senior Member
- Jul 25, 2013
- 117
- 662
CHADEMA in hazina ya viongozi wemye ushawishi ndani na nje ya nchi.
Urafiki wa kinafiki wala hakuja kumzikaNaona Mwenyekiti kakutana na rafiki yake wa kufa na kuzikana marehemu JPM...
Urafiki wa kinafiki wala hakuja kumzika
Dongo hili likiruka kwenye anga la kyiv😭Kuzika sio lazima uje kimwili...hata kiroho tunazika...
Hebu itaje hiyo hazinaCHADEMA in hazina ya viongozi wemye ushawishi ndani na nje ya nchi.
Naunga mkono hoja,nawote wanaopenda haki naomba wafanye kama wanajikuna tuwaone.CHADEMA in hazina ya viongozi wemye ushawishi ndani na nje ya nchi.
Ni maoni tu,yakwako na aliyekutuma,ila wenyewe wameridhia Kwa moyo na wapopamoja nae Kila hatua kwani imani yao ni kuwa Mwamba ataeafusha.🤔Hivi Wachaga wamekosa kweli mtu wa kumuamini na kuwaongoza ? Mbona Wachaga wengi sana wapo ni wasomi wazuri wangeweza kuwawakilisha Wachaga kuliko hiyu sellout.
Ni aibu kubwa sana kwa Wachaga kuongozwa na mtu kama Mbowe, aibu!
CHADEMA in hazina ya viongozi wemye ushawishi ndani na nje ya nchi.
Hao wengine waanzishe chama Chao. CDM Ni Mali ya Mtei na Mbowe.Hivi Wachaga wamekosa kweli mtu wa kumuamini na kuwaongoza ? Mbona Wachaga wengi sana wapo ni wasomi wazuri wangeweza kuwawakilisha Wachaga kuliko hiyu sellout.
Ni aibu kubwa sana kwa Wachaga kuongozwa na mtu kama Mbowe, aibu!
Lakini siyo LissuCHADEMA in hazina ya viongozi wemye ushawishi ndani na nje ya nchi.
Mkuu mambo ni mengi muda mchacheNaona Mwenyekiti kakutana na rafiki yake wa kufa na kuzikana marehemu JPM...
Ni jambo jema!Mwenyekiti wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe leo amekutana na Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja na Mheshimiwa Martha Karua, Kiongozi wa Chama cha NARC Kenya Jijini Nairobi.
Kupitia kwao, Mheshimiwa Mbowe amewataka Wakenya wote kushikamana kuhakikisha kuwa uchaguzi wao unakuwa wa haki, huru na wazi.
Kipekee, amewasihi Viongozi na Wagombea hao kuhakikisha vurugu za uchaguzi zilizotokea nchini Kenya miaka ya nyuma na kusababisha vifo vya Wakenya kamwe havijirudii tena.
Aidha, amewataka kutambua nafasi ya Taifa la Kenya katika kuendeleza Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu katika Eneo la Jumuia ya Afrika Mashariki na kwamba wanapaswa wakati wote kulinda na kuendeleza mafanikio hayo.
Mheshimiwa Mbowe amewatakia Wakenya wote mchakato mwema wa Uchaguzi wao wa August 2022.View attachment 2169612View attachment 2169614View attachment 2169613
Hao wengine waanzishe chama Chao. CDM Ni Mali ya Mtei na Mbowe.
Mbowe ni kiongozi wa CHADEMA na siyo wachagga.Hivi Wachaga wamekosa kweli mtu wa kumuamini na kuwaongoza ? Mbona Wachaga wengi sana wapo ni wasomi wazuri wangeweza kuwawakilisha Wachaga kuliko hiyu sellout.
Ni aibu kubwa sana kwa Wachaga kuongozwa na mtu kama Mbowe, aibu!