Freeman Mbowe aheshimiwe

Sasa.mbna huko mnamtukuza na kumuabudu bwana yule?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu yeyote yule anastahili kuheshimiwa, na kulindiwa utu wake, hivyo kutomheshimu mtu ni kukiuka kanuni ya msingi ya kibinadamu.

Sote tunapaswa kuheshimiana kama binadamu na sio mpaka heshima ije kutokana na nafasi au matendo flani.
Nikikumbuka baadhi ya michango yako humu JF tu, inanipa uhakika wa kuwa wewe ni mwongo!

Hakuna binaadam anayestahiri kudharauliwa kwa matendo yake yasiyopendeza?
 
Hili ni tatizo la kulelewa kwenye danguro.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa akina Pasco na Lumumba team wanaombeza Mbowe,
Nadhani Mbowe anaweza kuwa second to JK Nyerere kwa umahiri wa kusuka na kuendeleza taasisi anazozisimamia
Mkuu mliberali , kwanza mimi sijambeza Mhe. Mbowe popote, naunga mkono hoja kuwa Mhe. Mbowe ni kama Nyerere, ila hiyo position ya next to Nyerere ni JPM.
Kwa vile mimi nimeoa Machame, na najua shemeji zangu wameisha amua nini kumhusu Mbowe ile tarehe 28 October, kuontesha namheshimu sana Mhe. Mbowe, na kuuthamini mchango wake Bungeni, nimemuomba bulaza, katika zile nafasi zake 10 za uteuzi, awateue wapinzani 4 na nikawataja. Lissu, Zitto, Mbowe na Mbatia.

Na kwa vile leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
"Mayala kwetu njaa " Hii u-turn uliyopiga itakutafuna milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…