Freeman Mbowe aheshimiwe

Kuna mjinga mmoja amemlinganisha Mbowe na Nyerere

Kweli kupenda upofu.
 
Angalia Mbowe alivyoshughulikia matibabu ya mh. lisu mpaka amepona, angalia Ndugai alichokifanya. Kina vitu vingi vinampa credit mh. mbowe

Kuna wale waliombeza alipoomba maridhiano, Sikh chache baadae walionekana ikulu wanakunywa chai sasa hivi wako kimyaaa

Wale mawaziri wakuu wastaafu waliokimbia kimoyomoyo wanamkubali mbowe ni kiongozi mahiri.sema tu maslahi, pamoja na makandokando yao yamewafungamanisha na lile sheitwani la kijani
 
Nani ambae kamvunjia heshima?

Kitoto cha juzi juzi hiki kulikuwa kinafundishwa u DJ na kina DJ Seydou na DJ Femmy.

Unaongelea "enzi", enzi zipi hizo?

Wewe ni Mchagga?
Baba mwenye mjukuu unamuita "kitoto" halafu unauliza eti nani kamvunjia heshima? Ulipokuwa unamtetea kikwete kwa nguvu zote kuna mtu alikuuliza kama wewe ni mkwere? Kibibi kisicho na busara ni sawa tu na kisichana kimala----!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na mjukuu si hoja anaweza kubambikiwa tu.

Nimeshaulizwa sana na nimeshaambiwa sana kuwa ni Mkwere, tatizo nini?

Mbowe kavunjiwa heshima na nani? Heshima alijivunjia mwenyewe alipo divert safari ya mbunge wake au ni mala... wake? Kutoka New York kwenda Dubai kula nae "bata". Kuna heshima iliyobaki hapo?

Hizo "enzi", enzi zipi hizo?
 
Anakazi kubwa Sana kuwapika vijana wake (makamanda ushuzi)

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Makamanda ushuzy
Mtazame profesa kitilya. Yupo wapi na ametoka wapi
Juliana shoza yupo wapi na ametengenezwa na nani
Mwita waitara yupo wapi na ametengenezwa na nani
Katambi yupo wapi ametengenezwa na nani.
Yaani kwa ufupi kama LUMUMBA MNGEKUWA NA AKILI MNGEHAMIA CHADEMA. ILI MKIRUDI MPATE NYADHIFA MAANA HUKO MLIKO HAMUAMINIKI KABISA .
ILA HUKU WANA SUKA VIJANA UKITOKA UNAONEKANA KWELI UNA MAARIFA CHANYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uvumilivu wake ndo umeifanya ccm iendelee kuwepo bila hivo tungeshagawana fito.Amani yetu alindwi na polisi bali hekima na busara za wanasiasa
 
Yule bwana ametumia nyenzo zote kuanzia wasiojulikana, DPP, wakurugenzi,msajili,manunuzi, polisi,nk kujenga hofu Kwa ushauri wa yule MTU mrefu anaetawala nchi mkoa lkn amechemka,kila akiwaza jinsi ya kuzima nguvu za umma anaishia kulala tu kwenye jiwe,kaingia gia ya kutumia nccr ambayo inajulikana moshi pekee nayo itabuma kama zibumavo zingine.
 
Wanatumia mda mwingi kuwaza chadema kuliko kuwaza shida za watz. Matokeo yake wameishia kwenye stress upinzani umegoma kufa,shida za watz zingalipo palepale.Ni heri wangetatua shida za watz upinzani ungejifia wenyewe
 
Mkuu wa kitengo cha kumtukana Mbowe pale Lumumba Buku 7, lakini siyo ungwana unachofanya ni usheitwani tu.
 
Kweli kabisa alifanya hata club yake bilikanas tukalijua jiji vizuri maana wengi tulichangamkia pale
 
Kichwa kibovu kama hiki vimebaki vichache sana mjini, itabidi zifanyike juhudi za makusudi utafutwe popote ulipo tukuweke "karantini" makumbusho ya taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pale nyuma yake wanapatikana WANAOJULIKANA WANAOJIFICHA KWENYE KIVULI CHA WASIOJULIKANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…