Kuna watu wanafikiri hili suala bado liko kwenye level ya ushabiki wa kisiasa,tena wa kikundi kidogo cha watu.Watawala wana muda mchache wa kufanya maamuzi makini,otherwise Tanganyika mpya itazaliwa muda mfupi ujao,kabla ya kusherekea miaka '50' ya uhuru wa TZ bara!
Matusi hayasaidii, jenga hoja kistaarabu.
Unalazimisha watu wote wakubaliane na msimamo wa kipuuzi wa viongozi wa chama chako uchwara?
Not me.
Ndugu,Matusi hayasaidii, jenga hoja kistaarabu.
Unalazimisha watu wote wakubaliane na msimamo wa kipuuzi wa viongozi wa chama chako uchwara?
Not me.
Wampeleke fasta mahabusu Kisongo aungane na wahalifu wenzake kina Lema.
Akipewa dhamana atasababisha uvunjifu wa amani. Uhuni waliofanya NMC unatosha.
Anacheza na nguvu za dola?... Imekula kwake sasa.
Wote waliohusika na fujo watafikishwa mahakamani ikiwa ni pamoja na DJ Freeman Mbowe. Poilisi iliweka wazi kabisa kuwa inamtafuta na yeye aliruka ukuta na kukimbia. Amejisalimisha mwenyewe Polisi na atafikishwa mahakamani kwali Polisi kazi yake ni kumkamata tu, lakini hukumu ataipata mahakani. Hakuna cha ajabu hapo.
Kama hakua na hatia kwanini aliruka ukuta na kukimbia.

wakuu.., nimesikia muda mfupi uliopita kuwa kamanda wa anga.,mh freeman mbowe amefikishwa mahakamani.mlioko a town mtujuze.
Source: Super mix east africa radio(michael barut na zembwelai)
Kurekwaa ndu kitaare ni nrine ndi Kishongo!
Matusi hayasaidii, jenga hoja kistaarabu.
Unalazimisha watu wote wakubaliane na msimamo wa kipuuzi wa viongozi wa chama chako uchwara?
Not me.
Wakati unataka tujiulize tumeifanyia nini Tanzania kwa miaka 50,wewe unatakiwa ujiulize pia umeiibia Tanzania kiasi gani katika ya miaka 50 ya uhuru wake,hapo equation ita balance.Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake!
Hey!Hi there!Ndugu,
Nyinyi wa chama kingine ndo mmeanza kejeli ndo maana wao nao sasa wanatoa matusi. Kwanza anza kwa kujenga hoja. Sisi watu wengine tunafuatlia kwa makini kila thread hapa na tunaona jinsi ccm na cdm wanavyojibizana humu haisaidii hata kidogo. Wote mmkoswa busara na uzalendo.
Wote mmesahau jinsi watanzania wanavyoteseka na hali ngumu ya maisha both vijijini na mjini just because of siasa chafu na ucommunist ndani ya uongozi wa ccm. Tafadhali shikilia msimamo wako wa uccm lakini tetea haki ya waananchi kupata huduma bora ya maji, hospitali, barabara, huduma nzuri maofisini , shule nzuri nk kwa kupitia kodi halali ya rasilmali yetu.
Kila mtu anapenda amani lakini pale unyanyasaji na mateso ukizidi kisaikolojia mtu yeyote anaweza akafanya lolote il mradi afikishe ujumbe kwa wanaohusika. Sasa tukiendelea kushabikia tu ilikuonekana eti akina fulani wanaweza na akina fulani hawawezi it is nonesense.
Upende usipende mabadiliko ni lazima, ndo maana hata ndani ya chama changu cha ccm kuna conflict kubwa kwa sababu ya mabadiliko hayo. Tumeshindwa kukontrol mambo kila kukicha siri nyingi zinatoka kwa sababu ya tulijaribu kuistructure ccm mwaka 2006. tulikubali mabadiliko ndani ya ccm.
Vivyo hivyo naomba tukubali kuwa kuna makosa ndani ya serikali yetu katika kudhibiti upinzani. Kwa hali ya sasa upinzani hauwezi kudhitiwa kwa polisi na kukamatwa hovyo hovyo kwa viongozi wao bali kwa kukaa na wapinzani na kusikiliza hoja zao. Serikali yetu haijawahi kukaa na wapinzani kwa ajili ya kushauriana bali huwaita vyama uchwara. Na hapa ndiko kuna matatizo.
Mimi nimeshauri tu.
imekaa vizuri kiongozi.time will tell.ukombozi ni lazima.jela ni mahali pazuri pa kuishi ikiwa sababu ya kupelekwa huko ni kudai haki,na haki tunayodai itapatikana karibuni tuu na watu wote wanaotuunga mkono na wasio tuunga mkono wataifaidi uhuru wa mtu na utu wa mtanzania ukipewa thamani yake hautabagua wanaotuunga mkono na wasiotuunga mkono
siku inakuja ambapo tanzania itakuwa sehemu nzuri ya kuishi
hakuna kulala mpaka kieleweke
Wampeleke fasta mahabusu Kisongo aungane na wahalifu wenzake kina Lema.
Akipewa dhamana atasababisha uvunjifu wa amani. Uhuni waliofanya NMC unatosha.
Anacheza na nguvu za dola?... Imekula kwake sasa.