FREEDOM OF SPEACH...... wenzetu wako juu kwa hilo...

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Duu, hii ukaifanya Tanzania, itakuwa kasheshe......

Last edited by a moderator:
Kama hela ipo na akili juu, shule ya nini????

Britain Royal family, mtu pekee aliyemaliza University ni Mke wa William.....

Pamoja na kukosa Degree, dunia hii wanaheshimiwa kuliko hao walioenda shule hadi kupata Kibiongo.....

Make Money and not Make Degree...........
Nigga, go to school.
 
The royal family imefanikiwa kufika mpaka hapo walipo kwa sababu ya education na ku ivest katika hio education, msingi walio weka ulisukwa mpaka miaka inayokuja kwa kuzingatia education... wanaweza wasiwe na degree - wanakula bata; but ni muhimu kuzingatia kua ni education ilochangia wao kuwepo hapo.
 
Na pia Watanzania kuongea mbona saaana tu! Tatizo ni vitendo, hilo ndo limetushinda!
 
Pamoja na kukosa Degree, dunia hii wanaheshimiwa kuliko hao walioenda shule hadi kupata Kibiongo.....

Make Money and not Make Degree...........

Nani kakudanganya kwenda shule (to be educated) ni kuwa na degree?
 
Sasa wee umejuaje kuwa hao Nigga hawajaenda shule?

Hata Lil Wayne na ujinga wake wote, kashamaliza University kama sikosei, ila ujinga na bangi ndiyo vinazidi....

Next time andika BE EDUCATED and not "Go to school".
Nani kakudanganya kwenda shule (to be educated) ni kuwa na degree?
 
Back
Top Bottom