figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,560
- 62,136
Ussenge tu mtu anahimiza maandamano halafu yeye hashiriki.Join #MariaXSpaces 📍 🇹🇿
View attachment 3608568
Leo #MariaSpaces tunajadili: 7/7 Maandamano nchi nzima - tupo tayari au maneno tu?
Maandamano yametangazwa na madai ni #FreeTunduLissu #Haki za #MO29, #KatibaMpya #SamiaMustGo
Na hadi polisi wameanza kuandamana! Je tuko tayari kwa vitendo au maneno tu? Leo saa 2 uck
View attachment 3608569
#tanzania #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #SamiaMustGo #StopAbductionsTz #FreeTunduLissu
Sio vijana wa Tz.Kuandamana lazima tuta andamana..
Nyangwisi tarehe 29 nilitoka na awamu hii natoka piaAcha unafiki na kuponza watu Nyangwisi , u aweza kuweka Familia yako front na wewe kutoka font au unajaza maneno watu Jf ?
Mimi sikubaliani na huu utawala na serikali kwa mengi ila siwezi kuwaambia watu na kuwajaza watoke front wakati Mimi siko tayari kujitoa Sadaka kizembe
Andamana kutafuta fursa za utajiri kenge wewe, iokoe familia yako na umaskinini haki ya kikatiba kuandamana..
Ni haki ya kikatiba..Andamana kutafuta fursa za utajiri kenge wewe, iokoe familia yako na umaskini
Tusubiri..Sio vijana wa Tz.
Ni kama Abdul anavyowahimiza wale wanaolala nyumba za mabati wakaue watu huku yeye akila mema ya nchi..Ussenge tu mtu anahimiza maandamano halafu yeye hashiriki.
Huyo abbdull naye mssenge tuNi kama Abdul anavyowahimiza wale wanaolala nyumba za mabati wakaue watu huku yeye akila mema ya nchi..
Wambieni TEC wakupeni siraha wanazo nyingi hata M23 wao ndio wanawapaNa msiombe tukakamata silaha kama nyie mnazotambia. Mtafurahia show.
Msiwe mnaandika mambo ya kijinga mtandaoni kwa kujiamini kiasi hikiWambieni TEC wakupeni siraha wanazo nyingi hata M23 wao ndio wanawapa
Watu walifikia hatua ya choma choma kwasababu Kuna matukio mengi yaliyo kuwa yanafanywa ya mauaji dhidi ya raia halafu serikali ikawa Ipo kimya huwezi kuwa unaua watu tu hovyo kama unavyo ua sisimizi halafu utegemee watu wasitafute namna ya kujitetea hata siku ,Naunga mkono maandamano ila nafikiri safari hii wabadilishe mbinu, ile CHOMA CHOMA haijakaa vizuri sana.
Siku zote Waoga ndio huwazika Mashujaa, na Nchi huwa haikombolewi na kundi kubwa la watu.
Kuandamana ni HAKI, na Kutoandamana pia ni HAKI, hivyo tusikatane vidole kwa wale ambao mtajitokeza kuandamana, acheni na wengine watumie haki zao kisawasawa, ndio DEMOKRASIA.
Wote hatuwezi kuwa Majasiri, na vilevile wote hatuwezi kuwa Waoga, kama unajiona ni Muoga basi tuliza mshono na uwaache Majasiri wakupiganie kwa niaba, Usiwakatishe tamaa wala kuwavunja Moyo, Just relax and Enjoy the Show.
Kutaka anayehimiza maandamano nayeye awepo kuandamana ili eti nawewe ndio ujitokeze, huo ni UKONDOO, ni tafsiri kuwa hujui unachofanya ila unafuata mkumbo hivyo ni bora ubakie nyumbani na familia yako, Ujiinga wako utakuokoa.
UOGA pia huwa ni njia ya kujilinda, kama ambavyo Jasiri anapambana na Simba, vilevile hata anayekimbia akilia kwa sauti nae anapambana kwa style yake, Lengo ni moja ila njia ni tofauti.
Kila la kheri kwa wale watakaojitokeza kupambania Taifa letu.
Ukweli usiopingika ni kwamba Tanzania inahitaji UKOMBOZI.
Be a Man, Stay Taliban.
Hizo za TEC hatuzitaki, hizo zao waendelee kuwapa hao m23.Wambieni TEC wakupeni siraha wanazo nyingi hata M23 wao ndio wanawapa
wewe na maria wote mnajua mnachokifanya kumanina zenu na wote hamtaandamana mnawatia moto vijana innocent wa kitanzania wanadamane Kwa maslahi yenu mikundu yenu wasenge nyieWewe hutaki kuandamana si ukae kimya. Sisi tunaotaka kuandamana tuache tujadili. Si umeshasema tutakufa sasa unaendelea kujadili nini wakati tunaenda kufa. Tuache tujadili kwa siku chache zilizobaki ili tukafe salama
Tukana sana. Subiri uone sunami inakujawewe na maria wote mnajua mnachokifanya kumanina zenu na wote hamtaandamana mnawatia moto vijana innocent wa kitanzania wanadamane Kwa maslahi yenu mikundu yenu wasenge nyie