Free Tanzania - Maandamano 7/7

Free Tanzania - Maandamano 7/7

Join #MariaXSpaces 📍 🇹🇿
View attachment 3608568

Leo #MariaSpaces tunajadili: 7/7 Maandamano nchi nzima - tupo tayari au maneno tu?
Maandamano yametangazwa na madai ni #FreeTunduLissu #Haki za #MO29, #KatibaMpya #SamiaMustGo
Na hadi polisi wameanza kuandamana! Je tuko tayari kwa vitendo au maneno tu? Leo saa 2 uck
View attachment 3608569
#tanzania #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #SamiaMustGo #StopAbductionsTz #FreeTunduLissu
Tarehe 3 nakuja dar maalumu kwa ajili ya maandamno
 
Naunga mkono maandamano ila nafikiri safari hii wabadilishe mbinu, ile CHOMA CHOMA haijakaa vizuri sana.

Siku zote Waoga ndio huwazika Mashujaa, na Nchi huwa haikombolewi na kundi kubwa la watu.

Kuandamana ni HAKI, na Kutoandamana pia ni HAKI, hivyo tusikatane vidole kwa wale ambao mtajitokeza kuandamana, acheni na wengine watumie haki zao kisawasawa, ndio DEMOKRASIA.

Wote hatuwezi kuwa Majasiri, na vilevile wote hatuwezi kuwa Waoga, kama unajiona ni Muoga basi tuliza mshono na uwaache Majasiri wakupiganie kwa niaba, Usiwakatishe tamaa wala kuwavunja Moyo, Just relax and Enjoy the Show.

Kutaka anayehimiza maandamano nayeye awepo kuandamana ili eti nawewe ndio ujitokeze, huo ni UKONDOO, ni tafsiri kuwa hujui unachofanya ila unafuata mkumbo hivyo ni bora ubakie nyumbani na familia yako, Ujiinga wako utakuokoa.

UOGA pia huwa ni njia ya kujilinda, kama ambavyo Jasiri anapambana na Simba, vilevile hata anayekimbia akilia kwa sauti nae anapambana kwa style yake, Lengo ni moja ila njia ni tofauti.

Kila la kheri kwa wale watakaojitokeza kupambania Taifa letu.

Ukweli usiopingika ni kwamba Tanzania inahitaji UKOMBOZI.

Be a Man, Stay Taliban.
Stay Armed Stay Taliban
 
Kuandamana ni HAKI, na Kutoandamana pia ni HAKI, hivyo tusikatane vidole kwa wale ambao mtajitokeza kuandamana, acheni na wengine watumie haki zao kisawasawa, ndio DEMOKRASIA.
Haya ni mawazo umeyatoa wapi, na unamweleza nani?
Tanzania ipo hiyo DEMOKRASIA; au unazunguumzia nchi gani unakoishi wewe?

Unawaeleza waTanzania ya kufikirika haya ili yawasaidie kitu gani?

Unatamani Tanzania pawepo na hayo unayoyaeleza wewe, basi usikae ndani siku hiyo, nenda katengeneze mazingira yatakayowezesha hiyo demokrasia kuwepo.
 
Join #MariaXSpaces 📍 🇹🇿
View attachment 3608568

Leo #MariaSpaces tunajadili: 7/7 Maandamano nchi nzima - tupo tayari au maneno tu?
Maandamano yametangazwa na madai ni #FreeTunduLissu #Haki za #MO29, #KatibaMpya #SamiaMustGo
Na hadi polisi wameanza kuandamana! Je tuko tayari kwa vitendo au maneno tu? Leo saa 2 uck
View attachment 3608569
#tanzania #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #SamiaMustGo #StopAbductionsTz #FreeTunduLissu
Mkavunjwe viuno sie tuwakaze tena wake zenu huku mitaani.
Kumbukeni tu kuacha wosia
 
Na msiombe tukakamata silaha kama nyie mnazotambia. Mtafurahia show.
Chukueni silaha, mtaongezewa na zingine halafu tuone hiyo show yenu. Nafikiri show mnayoweza labda ya kukata viuno tu. Endeleeni kuota na jaribuni huo ungese wenu wa kuja na silaha ndipo mtakapojua kuwa kumbe Tanzania Ina wenyewe na hawana masihara hata kidogo linapokuja suala la kulinda ardhi hii. Mamamamamamamaae!!!!!
 
Mkund* wa mama yako,unafikiri huyo msenge aliyevimba mashavu Kwa Kodi za wanyonge utamuona hiyo trh 7 July akiwa barabarani au na yeye atakaa ndani na matako yake makubwa huku akiamrisha watoto wa maskini waende barabarani wakaue wananchi wanaotetea nchi irudi mikononi mwa wananchi na sio hao vibaka wanaohamasisha amani ili waendelee kuiba Kwa uhuru bila woga.SASA HIVI KITANUKA KULIKO UNAVYODHANI NA WATANGANYIKA WAMEJIPANGA KUIKOMBOA NCHI
Unavyoongea tu inaonekana Kuna mboo mkunduni kwako huko inakufokoa na hapo unaigugumia tu. Litaendelea kunuka kundu lako hilo chafu mseng* we lakini si Tanzania hii. Walijaribu wenye uwezo wa kiakili na Hali kuiharibu wakashindwa itakuwa makuma nyie mnaoshenyentwa na kina heche?!!!! Karibu hiyo 77 tukuone...............your mother's rotten cunt!!!!!
 
Tutatoka pamoja kwa umoja
Acha unafiki na kuponza watu Nyangwisi , u aweza kuweka Familia yako front na wewe kutoka font au unajaza maneno watu Jf ?

Mimi sikubaliani na huu utawala na serikali kwa mengi ila siwezi kuwaambia watu na kuwajaza watoke front wakati Mimi siko tayari kujitoa Sadaka kizembe
 
Back
Top Bottom