Mwanaume akiongea mwanamke unanyamaza na kuitikia tu alaa!!!Hapa tu ndipo sijapaelewa, nikifanya home ndio Ofisi yangu Kuu....kesho Mola akakuita....nitaanzaje kutafuta Kazi maana huko nje hata sikujui kulivyo na sina Experience nje ya Nyumbani?
Mwanaume akiongea mwanamke unanyamaza na kuitikia tu alaa!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pesa zenu nazo tamu mnoo kuzitumia jamani, ingebidi wote muwe na pesa na msife kabla yetu ili tuzitumbue weeeeee[emoji85] [emoji85] [emoji85]Kabisa, kusaidiana muhimu but lzm mimi niwe juu kwa kila kitu kuanzia uchumi nk. Kuhusu kipato chako kitasaidia nikitetereka.
Sio tu nitakuruhusu biashara au kazi bali nitakuwezesha kukujengea uwezo katika kazi hizo.
Tukubaliane tu ukweli ni kwamba wengi wenu ke mnapoona me tunauwezo mnabaki kutaka mavazi, magari ili muonekane mko juu na hamfikirii kuhusu kesho yenu na familia.
No no noo, mwanamke wa ndio hata kama ni hapana, mimi simtaki.Mwanaume akiongea mwanamke unanyamaza na kuitikia tu alaa!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nilishakupa nafasi..Haya chagua cha kuwekeana haha
Niko nae pm huku ...Mbona kama mnaoneana aibu!!
Basi weka maji mdomoni hiyo pilipili isiwashe tena..Hapana mkwe.
Mkwe :[emoji87] [emoji87]
Nilishakupa nafasi..
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji78] [emoji78] [emoji78]Mbona kama mnaoneana aibu!!
Niko nae pm huku ...
Unataka mrejesho kwani?
Mama la mama..[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji78] [emoji78] [emoji78]
Haha a.k.a ustaadhMama la mama..