MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,745
- 71,610
Nimeanza kazi nina 23 miaka hiyo bwana nimejipinda mtu kaenda hadi Ulaya lakini yule Mpare alinizidi kete,Kwahiyo hako kaexperience kamoja ndio umesusa kabisa!!! Usifanye hivyo bwana.
Saburi ni tunda la roho, wewe vumilia tu dada.Huh!! Mie nisubiri ila wengine unawaita fasta fasta eeh!! Charity starts at home my kaka.
Polee, lakini alikufanya uwe makini zaidi..Wafikiri inaweza kukutokea tena?Nimeanza kazi nina 23 miaka hiyo bwana nimejipinda mtu kaenda hadi Ulaya lakini yule Mpare alinizidi kete,
Sikutegemea kama ntakuja ingizwa mjini mimi, lakini pale niliwezwa aiseee.
Nimeitimiza ndoto yanguIkawaje??
Hahahaaaaa!! Na ujanja wote huo!!Nimeanza kazi nina 23 miaka hiyo bwana nimejipinda mtu kaenda hadi Ulaya lakini yule Mpare alinizidi kete,
Sikutegemea kama ntakuja ingizwa mjini mimi, lakini pale niliwezwa aiseee.
Nikaacha kujifanya Sponsor tangia pale......
Atapata malengelengeNa biashara nikiunguza mtaji?
Swalehe kaenda shule Leo?![emoji4]unafaa
Hahaha maza houses wanenepeane tu jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee watu wana maneno jamani, kwenye gari unakuwa kama umepewa lift.
I learned in a hard way, sikurudia tena.Polee, lakini alikufanya uwe makini zaidi..Wafikiri inaweza kukutokea tena?
Nakazia tena teh. Shikamoo shemeji, me si unaweza kunisponsor tu kwa niaba ya dada?Aisee, shemeji naona unakazia kabisa.
Haya chagua cha kuwekeana hahaNaomba Tubet kabisa...
Tunawekeana nini ?
Hahahahaa, wanasemaga ndege mjanja bwana.Hahahaaaaa!! Na ujanja wote huo!!
Aibu nimeona mimi kama MO11
Hawana jema hawa watu, ukinenepa ooh unajiachia sana huniseduce tena sijui unaonekana kama shangazi angu wa tukuyu khaaKama unene sifa eti, wakati maradhi tu.
Teh teh teh, halafu siku hizi yumo humu ndani.Nakazia tena teh. Shikamoo shemeji, me si unaweza kunisponsor tu kwa niaba ya dada?
Ukasafiri ukaniacha mdogo wako[emoji57] [emoji57] [emoji57]I learned in a hard way, sikurudia tena.
Ujana wangu wote nilikuwa nafanya savings zangu na muda wa kula bata nilikuwa nakula mwenyewe bila kujibana.
Nasafiri naenda hata Garden of God, Ruaha National Park au Ngorongoro for a weekend, nikajikuta ninakuwa na afya ya kiakili na kiuchumi. Sikurudia tena kucheza kamali na mabinti wa mujini.
Tobaaa. Mwambie basi a-like comment yanguTeh teh teh, halafu siku hizi yumo humu ndani.