Free Movies Online

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,624
1,771
Wakuu, kwa wale wanaopenda kuangalia movies mpya mpya mitandaoni, basi ingia kwenye website hii: Veetle download hii programe cnet.Veetle-TV then nenda moja kwa moja hapa Veetle ili kuperuzi movie gani unataka kuangalia.

It's all Free

tototundu

Senior Member
Jul 29, 2009
198
40
veetle ni another user generated content based using user's timetable/schedule. Sio kuwa unakuta list ya movies unaangalia on-demand.
 
e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
562
yeah lakini duuuh as u know veetle ni high def. so apo lazima speed iwe juu kweli coz minum ni kama uwe na net connection ya 600 kbps... sasa kwa hapa bongo ndio its possible lakini sio kwa wingi pia kuna hii site pia iyo movies fresh na sio high def and does not need high net speed to watch ingia HAPA utaona search bar refu andika the movie you want italeta results click na itaanza kuplay na vile vile kama umeinstall download acc... unaweza idownload pia maana itainasaa from the moment it starts playing na ni only 200 - 300 mb complete movie ENJOY!!!
 
X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,624
1,771
Wakuu ni kweli kabisa kama speed ya mtandao ni mdogo itakula resource kweli kweli, kwa sababu hawa jamaa wana stream in HD, na picha si zile kama zinazowekwa kwenye website ya video2k, ambazo ubora wake ni hafifu sana.
 
Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,410
3,162
yeah lakini duuuh as u know veetle ni high def. so apo lazima speed iwe juu kweli coz minum ni kama uwe na net connection ya 600 kbps... sasa kwa hapa bongo ndio its possible lakini sio kwa wingi pia kuna hii site pia iyo movies fresh na sio high def and does not need high net speed to watch ingia HAPA utaona search bar refu andika the movie you want italeta results click na itaanza kuplay na vile vile kama umeinstall download acc... unaweza idownload pia maana itainasaa from the moment it starts playing na ni only 200 - 300 mb complete movie ENJOY!!!
Mkuu link yako ya ukweli aisee, nimecheck move mwanzo mwisho bila kustuck ingawa quality sio kivileee
 
tototundu

Senior Member
Jul 29, 2009
198
40
dah nimejaribu hiyo veetle inasema no signal! acha nijaribu hiyo nyingine ndugu yangu!

Jaribu kutumia TTCL Banjuka, kuanzia saa 3 usiku ni 500/- kwa saa. True Broadband, haikatikati, kitu HD. Kuna channel inaitwa LUX TV, safi sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom