Mimi sitaki kucheka, nataka nianze kunywa kidogo kidogo, matenki makubwa mazito mno😂Ukiyatumia utajua raha yake yanakimbia saaaana weeeee hujui waulize wakongwe. Cc6000 siyo ishu si unajua tuna tank ndani km Moooooomboooooooooo.
Sehemu kama hizi uwe unanitag 😎Waache wanachangamsha kijiwe
Nimemiss unavyokiwashaga!Sehemu kama hizi uwe unanitag 😎
Weee gari kubwa ikiwashwa tuu shaaaaaaaaMimi sitaki kucheka, nataka nianze kunywa kidogo kidogo, matenki makubwa mazito mno😂
Siku hizi napenda sana amani 😎😎Nimemiss unavyokiwashaga!
Sijakuzoea hivyoSiku hizi napenda sana amani 😎😎
Nimebadilika tabia 😎😎Sijakuzoea hivyo
Bwashee kwamba naweza anzisha mada nikaogopa kurudi?😅😅😅Jazia nyama kuwa siku ya mwisho alionekana akiwa amelewa.
Akaanzisha Mada ambazo kesho yake baada ya kuwa sober akajiuliza mara mbili mbili.
Anko ndio wewe umepita hapa bagamoyo road na subaruBwashee kwamba naweza anzisha mada nikaogopa kurudi?😅😅😅
Bwashee 😅😅 mnapenda mtu ateseke 🤣 ngoja leo nilewe vizuri niwape stress gademitt 😅Alizoea kunywa banzoka😆😀😀 sasa yamemkuta huko. Dadeki
Bwashee subaru ni kitu gani?Anko ndio wewe umepita hapa bagamoyo road na subaru
ile gari yako ya blueBwashee subaru ni kitu gani?
Ile ni ya mfanyakazi wa kwa ng'ombe bwashee 🤣 asee nishasahau hata hizo brand za kipumbavu za magari😅ile gari yako ya blue
Kuna wajinga wanasema ulishindwa kulipa bill ukafungiwa stoo ya vinywajiNipo bwashee, nilikua bize kidogo ,now nao ndio nimepata hata mda wa kuchamba koromeo kidogo 🍺🍺
min me laughed at your comment.Wabongo bhana mnaweza kukorofishana kwa ishu ndogo kabisa kwenu hakuna joke's wala nini ni kama wale wazee akifika home TV inazimwa Baba kaja..
😁😁😁 labda kama ubongo wangu utakua umestop kufanya kazi tena bwasheeKuna wajinga wanasema ulishindwa kulipa bill ukafungiwa stoo ya vinywaji
Fuso tandamu dabo difu min -me asisahau tu kuvaa yale manailoni😀 yuko mapumziko na kimwana mmoja hatari Sana black beautyView attachment 3660981