FREE MIN MEE

Hivi Mkikutana mubashara na huyo unayepotezeana muda na energy, mna uwezo wa kutumiana haya maneno au ujanja wote unaishia kwenye maandishi ?
 
Nisimkimbize kichaa nisije onekana kichaa, gudu bai
 
Kamesha anza kutetemeka mpaka vidole,
Kajamaa kaliteswa sana na Baba wa kambo,mpaka leo hakapo sawa.
With no due respect, hujui chochote wewe sadist.. Mjinga.

Nimesha kwambia huo onoko wako na ego iliyo insecure, Wacha kuseek approval na kutumia tactics za kipuuzi uhisi kila mtu atakuwa trapped.

Wewe ni mjinga tu, na ujinga wako uko venye unapo loose touch na muhusika na kuanza kumzushia drama na uongo ili ilupate approval.

You're just another loser, mpuuzi wewe. Huna akili, huna utimamu, huna boldness ya kujua una stand wapi katika conversation.

You'll keep on tearing other people ambao nahisi watakuwa wanao na kizazi chako
 
Hivi Mkikutana mubashara na huyo unayepotezeana muda na energy, mna uwezo wa kutumiana haya maneno au ujanja wote unaishia kwenye maandishi ?
 
Wale wakusuka mikeka na wasuke, ingawa bado hatujui mshindi ni nani kati ya wawili hawa.
Nadhan Huu Uzi umemuenzi vizur Min Me.
Maana nae ni mchangiaji na mbishani mzuri.

Hapa pamekosekana Pombe tu.
Jion wanyaji tutamuenzi.

Maana bikin tayar ephen_ anazo.

NB: Kumuenzi ni Kumkumbuka mtu na sio Lazima awe amefariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…