FREE MIN MEE

Ila ukiwaza sana humu JF matusi yanayotukanwa au kutukanana nje ya JF ni watu wengine tofauti kabisa.. maana hata sura hazielekei kama tuna midomo michafu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Au nasema uongo mdogo wangu...
ephen_
 
Upo sahihi! Mambo ninayoandika jf siku tukionana nitakua naangalia chini kwa aibu sithubutu kukuangalia usoni๐Ÿ˜‚
 
Bwashee ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mnapenda mtu ateseke ๐Ÿคฃ ngoja leo nilewe vizuri niwape stress gademitt ๐Ÿ˜…
Bwashee ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mnapenda mtu ateseke ๐Ÿคฃ ngoja leo nilewe vizuri niwape stress gademitt ๐Ÿ˜…

๐Ÿ˜๐Ÿ˜„๐Ÿ˜€

Watu wanajifanya wanakupuuza, hawakujui, hawakutambui. Wanakuona huna lolote.

Lakini ukipotea siku mbili wanaku-miss. Wanaanza kukuulizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ