it works, thnxxxxxxxxxxxxxx
Mkuu feedback hii hapa, ila speed kwangu ni ndogo sana sijui hao wengine wamepateje speed kubwa? kama kuna njia nyingine ya kupata speed kubwa basi nifahamishe. vipi hiyo ya 10,000/? je ina speed? View attachment 114930
Hakuna sehemu niliyosema sielewi kuConfigure VPN. Ninaweza kuConfigure VPN za halali na za magumashi. Kwa kazi yangu ninayoifanya ninacheza na VPN muda wote.
Kwa sisi ambao ni Cisco Certified popote utakapokwenda sanasana maofisini kwenye kuomba kazi/kuko-Configure networks zao vitu vya kwanza mtu atakavyotaka kuwa na uhakika kama ni kweli unavielewa ni Subnetting na VPN kwasababu ni vitu basic sana kwenye Cisco Certifications. Na in Cisco, mambo yapo practically sana kiasi kwamba hata kwa wale wanaotaka kujifunzia uchochoroni wamewekewa Packet Tracer.
Sikujua kama ni biashara ila hii title yako ipo juu-juu sana na sikupenda ulivyokuwa unawababaisha watu mara nimeifunga kwavile haujaleta feedback mara nilitaka na nyie mpate akili za kutengeneza zenu na kuna mwingine ndiyo nilimuonea huruma kabisa akadai yeye alitoa feedback na bado imegoma.
Huwa sichangiagi kwenye hili Jukwaa siyo kwamba sijui ninajua sana na hauwezi kunidanganya kitu chochote kile kuhusu configuration za networks (zaidi linapokuja kwenye swala la Cisco Routers and Switches) ila ni kwavile kila mtu hawezi kuwa muongeaji wengine inabidi tunyamaze. Ninakumbuka nilichangiaga mara moja kwenye uzi wa Young Master (siku hizi simuoni tena akichangia mara kwa mara kwenye hili jukwaa) alikuwa anaongelea jinsi ya ku-Configure Cisco Router, nilifurahi sana cause ninapenda ku-Configure Cisco Routers and Switches. Ni muda mrefu umepita wa hiyo thread na ninafikiri ilikuwa ni mwaka jana au mwaka huu mwanzoni.
Spot on man...at least he can put a custom VPN config he just edited for people to see if it works or not!!? And the attitude is over the top!
wakuu hichi kitu mbna kinapiga kazi.. tafuten server zinazosuport udp port 80(chache) then fata kwa uangalifu instructions za mkuu njunwa.. me ilikubali badae ikagma na nimegundua server udp port 80 nyingi za free zpo weak.. nko napigana na tcp server kwa magic sim card!
wakuu hichi kitu mbna kinapiga kazi.. tafuten server zinazosuport udp port 80(chache) then fata kwa uangalifu instructions za mkuu njunwa.. me ilikubali badae ikagma na nimegundua server udp port 80 nyingi za free zpo weak.. nko napigana na tcp server kwa magic sim card!
mkuu mimi nimefanikiwa kufika hapa hivyo naomba pass
sasa passwd na usernem zinaombwa kwenye wall kweli au haujui kuwa hivi ni vitu confidential lazima uje PM
Kuna new Updates maana mwenyewe windows 8 yangu 64bits ilikuwa inazingua lkn naona imekubali kwa kutumia NMD VPN
NMDVPN
View attachment 113518
Baada ya kupata USN na PW wala haikuchukua muda kuconnect. Hongera kwa maujanja haya!
ukiweka screenshot ukasema na Model ya modem unayotumia afu na sehemu ulipozichukulia inapendeza sana
Kama feedback ya Chief-Mkwawa vile inapendeza maana twaweza jifunza kitu mfano mm baada ya chief kuweka kuwa akitumia Dongle yenye 46Mbps anapata speed zaidi ya 1MB/s na mm sasa hivi nataka ninue modem ya 21.6Mbps kuona kama ntaboost speed