Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
mkuu njuwa mzigo wangu uko hivi nimejaribu kukaa mda mrefu lakini hakuna chochote
Kitu ambacho sitaki kukiamini na nataka C6 aje anielezee hivi mtu anaweza kuwa na post1 afu akawa junior member na akatuma PM kweli?
Vinginevyo JF imeingiliwa
Hakuna sehemu niliyosema sielewi kuConfigure VPN. Ninaweza kuConfigure VPN za halali na za magumashi. Kwa kazi yangu ninayoifanya ninacheza na VPN muda wote.
Kwa sisi ambao ni Cisco Certified popote utakapokwenda sanasana maofisini kwenye kuomba kazi/kuko-Configure networks zao vitu vya kwanza mtu atakavyotaka kuwa na uhakika kama ni kweli unavielewa ni Subnetting na VPN kwasababu ni vitu basic sana kwenye Cisco Certifications. Na in Cisco, mambo yapo practically sana kiasi kwamba hata kwa wale wanaotaka kujifunzia uchochoroni wamewekewa Packet Tracer.
Sikujua kama ni biashara ila hii title yako ipo juu-juu sana na sikupenda ulivyokuwa unawababaisha watu mara nimeifunga kwavile haujaleta feedback mara nilitaka na nyie mpate akili za kutengeneza zenu na kuna mwingine ndiyo nilimuonea huruma kabisa akadai yeye alitoa feedback na bado imegoma.
Huwa sichangiagi kwenye hili Jukwaa siyo kwamba sijui ninajua sana na hauwezi kunidanganya kitu chochote kile kuhusu configuration za networks (zaidi linapokuja kwenye swala la Cisco Routers and Switches) ila ni kwavile kila mtu hawezi kuwa muongeaji wengine inabidi tunyamaze. Ninakumbuka nilichangiaga mara moja kwenye uzi wa Young Master (siku hizi simuoni tena akichangia mara kwa mara kwenye hili jukwaa) alikuwa anaongelea jinsi ya ku-Configure Cisco Router, nilifurahi sana cause ninapenda ku-Configure Cisco Routers and Switches. Ni muda mrefu umepita wa hiyo thread na ninafikiri ilikuwa ni mwaka jana au mwaka huu mwanzoni.
kaka umesema kweli, huyu jamaa ni tapeli ana sababu za kishenzi eti hujanipa feedback.stupid!
sasa umenyimwa usernem na passwd ndo umeleta matusi hapa
kaka umesema kweli, huyu jamaa ni tapeli ana sababu za kishenzi eti hujanipa feedback.stupid!
Masharti hukuyasoma nakuyaelewa leo hii unakuja na matusi
Anyway mm sio msharishari ni mtu peace
Ukisoma NEW UPDATE YANGU utaona kuwa wale waliofata masharti ya kuleta feedback bado wanaendelea ku-enjoy kwa PM sasa wewe nilikupa usernem na passwd nikakwambia kalete feedback ili kama imeshindikana hiyo usernem apewe mwingine we ukatulia tu na mm nikakuchunia nikijua utarudi tu na kweli ulirudi ukaambulia zero tu
Usiishi kwa CHUKI kaka/dada kisa chenyewe umenyiwa usernem na passwd ya kutumia 3days na isitoshe unanitukana eti mm stupid jieshimu mkaka kama si mdada
ila nashukuru kwa kuninyima kwa kua nimeumiza na nimefanikiwa kufanya configuration zote nina server yangu inapiga kazi fresh. So uchoyo wako umekua faida kwangu.Hili jukwaa ni la kumwaga ujuzi sio la biashara kaka.Inatakiwa umwelekeze mtu jinsi ya kupata username na password na jinsi ya kufanya edit kwenye yale ma-file. Hiyo ndio technology sio kumezeshana sumu.
wakuu hichi kitu mbna kinapiga kazi.. tafuten server zinazosuport udp port 80(chache) then fata kwa uangalifu instructions za mkuu njunwa.. me ilikubali badae ikagma na nimegundua server udp port 80 nyingi za free zpo weak.. nko napigana na tcp server kwa magic sim card!
nmefurah kuona mwenzetu umefanikiwa ,me nimejarbu imegoma ,nadhan itakuwa pouwer ka utatupa hints
- Abloodi,
- kingsjuma,
- GHANI,
- mgeni3,
- bartholome
- @farijiel
Wengine wananiita eti mm tapel na wengine wanasupport kuwa mm tapeli lkn watanzania kwa nn tunakuwa hivi maana mm sielewi
Mimi nachapa kazi sijalishi maneno mnayosema leo nimewaletea mfano rahisi sana wakutumia server ya TunnelGuru ile ya free maana yule ambaye alifanikiwa leo kanambia imeanza kumzingua na mm nimethibitisha hilo nani megundua server zitakuwa Down
Lkn jkwa wale ambao hamjafanikiwa na hamkosi kuendelea kusaka Tumieni free server rahisi ya TG
teh teh teh..... kumtusi mtu ni ujinga sana kwangu mimi, ila huwa napoint facts tu. Kuhusu hyo tutorial yako it is not as if i havent tried have tried alot, muda huo nkiwa najaribu ndio ambao nlikuwa nasema nini kinatokea
...... Huwa sigive-up easily sema nlichokigundua kwenye hyo tutorial yako ni kwamba hyo ni mission impossible 10 kwasababu kila vpn huwa inaserver zake na kila server huwa zinarespond to a certain certificate. hilo haujasema katika maelezo yako kwahiyo inawezekana hata wewe haujawahi kutengeneza server yoyote ikafanikiwa kwakupitia hyo hyo tutorial yako. na pia server nyingi za vpn nyingine hazina lport ukiedit ukaweka haiconect tofauti na za TG na XTREAM VPN
Kuhusu hzo account za trial unazotupatia ni kwamba wewe ni reseller wa XTREAM VPN na sio METEOR VPN kwa sababu hata certificates mnazotumia ni za xtreamvpn, hawa jamaa huwa hawana free accounts na username huwa wanatrial tu ambazo resellers ndio huwa wanaweza kuwapatia watu lakini after a certain period zinastop ndio kilichokuwa kinatokea hapaa. kwahiyo sio feedback wala jambo lingine if u could u would sema it is also out of ur reach. source Xtream VPN
Kweli kumtusi mtu ni ujinga na nimeona umegonga like na kukubaliana na tusi alilonipa bwana GHANI au ulijiahau?
[/COLOR]
Yaani mm sio final knowledge kumbe unalijua kuwa kila server inarespond na certificate yake afu bado unataka nikutafunie nikupe ule tu..
Unajua maana ya lport? angalia hizo server za VPN BOOK walizoziedit wahindi utakuta wameweka "nobind" hii ni sawa na kusema lport 0 maana nchi nyingi Rport inatosha tu inakupa free net e.g Nigeria port zao zote hamna haja ya kuweka Lport ni just 0/no bind kitu inajipa
Mkuu mm hiyo tutorial nimeiandaa within 5 minutes and very fast nikijua hapa sio kipindi cha kutafuniwa kama Vitoto vichanga na unaposema sijawai kufanikiwa basi upeo wa kufikiri kwako nina mashaka nao maana siwezi leta jukwaaani kitu ambacho sijakitafiti na wewe bado hauja-surrender maanna unajua inawezekana
Mbona wwengine wamefanikiwa CHANGE YOUR ATTITUDE ndo utafanikiwa the mission is possible and pple have found it possible already
unajua server 47 zilizopostiwa kwenye Blog ya huyu mfilipino source yake ni wapi?
Blog yake inashine just ni expert wa blogging na Web desgn na ndo mmiliki wa Symbianize forums ya wafilipino
Nimetumia server alizo-edit yeye lkn in short na yeye hilo ni jina la biashara just like Meeteor VPN lkn mm nappenda sana Tutorial zake OpenVPN ndo maana nimechukua server zake alizo-edit yeye ndo nilizoweka hapo.
Zifuatilie kwa makini hizi VPN nilizo list hapa chini
- Hotspot shield VPN n Expat shield VPN(baba yao)
- Bisaya VPN
- Gateway VPN ya wanajeria
- CMD VPN
- Sandwich VPN kaangalie server za configs za simu katumia crtificate za wapi
Majibu yote yako hapo juu na VPN nyingi ni za biashara wewe unafikiri kwa nn haziko popular ni sababu server wanazotumia sio wenyewe wanazi-copyright kama ilivyo kwa PD proxy na Tunnel guru au Hide my ass VPN.
Nimekuachia H/M na majibu ya server zinazotumika na za VPN husika nimkuachia hapo juu we play around utakuja na jibu kuwa hizi local VPN wote ni majina ya biashara just like Meteor VPN
kaka mkubwa, i just wanted you to admit kuwa kwa tutorial uliyoiandaa hakuna ambaye angefanikiwa kwa kufuata maelezo yako yote kama yalivyo..... nwys achana na hayo appart from Xtreamvpn, TG and PDproxy ambazo ni paid..... free vpn ip uliyofanikiwa kuiconfigure na ikawork?
Ubovu unatumia nguvu nyingi kushindana na njunwa wamavoko nimekufuatilia tokea mwanzo post zako zote
Hakuna ambaye angefanikiwa kwa kufuata maelezo yangu?mbona wanajiongeza wamefanikiwa
Mbona tutorial niliyotoa awali ya Open VPN iliwagomea baadhi isipokuwa wale waliokuwa wajanja kama elmagnifico ambaye aliamua kutumia Openvpn client
Wewe nshakusoma unafikiri mm ni mtegemezi wa hizi VPN tu na unajaribu kuni-spy work out mkuu or less if its impossible for you give your hands Up usitake kuanza kuniuliza nimeconfigure zipi wakati nimekupa List tayari