Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

Sijui niseme ulidandia GARI kwaa mbele afu ushapigwa mzinga naona unagalagala ngoja nije kukupa Fist AID
Uliaanza hauamini lkn ukaamini sasa baada ya kuamini ilibidi utengeneze Configs zako ambazo ni simply copy and Paste ambayo wewe unaita EXTRA SKILLS.... sijui computer unatumia ya nn kama na hilo ujui si utuachie Smart boys kama sisi tuendelee kuzitumia
Tatizo hausomi UPDATES ninazo weka lkn waliosoma Vigezo na Masharti wanaelewa Vizuri lkn kwa kuwa haukusoma Vigezo na masharti as usual yetu yashakukuta tayari
Kwa MSAADA Soma footer yangu ambayo inasema FREE INTERNET OFFER STILL AVAILABLE afu reason ujiulize ni nn maana ya offer?

Kama unamfundisha mwanafunzi lazima umuoneshe mwanafunzi kuwa kupata 100% inawezekana na baada ya hapo umpe mtihani apigane kupata hiyo mia

Atakayesoma comments/replies za hii thread kwanzia mwanzo hadi mwisho ndiye atakayeelewa nilichokisema.

Nilitaka nijionee mimi mwenyewe kwanza ndiyo niandike nilichokiandika ndiyo maana juzi usiku nikakuomba username na password na nilikuwa ninacheka sana ulivyokuwa unawayumbisha hao jamaa hapo juu (Magnifico, Mgeni sijui kama nimeyapatia majina yao na mwenzake) waliokuwa wanakuomba msaada jinsi ya kutengeneza configuration files ukawa unawapiga chenga.

BTW, I'm on CCNP right now na hakuna nisichoelewa kuhusu VPN. Nilianza kufanya hiki unachokifanya leo kipindi ninasoma CCNA pale TechnoBrain baada ya kumaliza masomo yangu pale D.I.T.

Nakumbuka kipindi ninafanya CCNA nilishawahi kuianzishia thread. Ni mwaka jana kama mwezi wa kumi nadhani.

Ninapitia hili jukwaa kila siku na huwa ninapita kimya kimya ninapendaga kumsoma Chief Mkwawa na Nokia yake naishiaga kucheka tu na utetezi wake asiokubaligi kushindwa hata siku moja, nje ya hapo sijawahi kuonaga jipya zaidi ya maelezo ambayo yanakuwa translated from Google.

Labda kidogo somebody Kang ndiyo huwa naona akimsaidia mtu huwa anamueleza kulingana na yeye kama yeye Kang anavyoelewa.

Ni mawazo tu nilitoa mkuu njunwa wamavoko.
 
Last edited by a moderator:

yes nimawazo yako lkn inabidi usome uelewe hii ni offer mkuu na wewe na DIT zako umekiri haujui kitu kuhusu haya mambo na watu wengi hawajui ndo maana nikajitoa kuwapa Acess kwanza maana ningeanzisha Thread kufundisha ku-edit hakuna ambaye angeniona mkweli na mmojawapo ni wewe .
Hii Thread imekuwa Edited zaidi ya mara 10 ndo maana hauelewi mchezo labda lkn waliofatilia mwa mwi wanaelewa
kama ulifatilia nimewajibu jamaa fulani nikawambia msomi hadanganywi hata siku moja hii trick ya ku-edit configs siitumii mm nikawapa mifano za Blog za wahindi wakasome na baadhi wakakubali lkn wakabaki kutoniamini kama kawaida yetu waafrica wakaishia kuna hatua nimeficha.

MALENGO YANGU
  • Ku-promote technolojia ya VPN hapa nchini kwetu ili watu wawe na muamko na uelewa juu ya VPN+Free Internet ili baadae na sisi tuwe na VPN zetu ambazo tutaweza hata pata Unlimited acess kwa just hata 4000TZS kwa mwezi e.g wanajeria wanazo TwekwareVPN,GatewayVPN,GplusVPN au GooglePlusVPN na wanziuza kwa reasonnable price kuliko zile za kununua from TunnelGuru,PD Proxy,Meteor VPN ambazo wanakuuuzia less or equal to 5500/= ili nawe upate faida unalazimika kuuza 10,000/=
  • Kuwaondoa shaka wale ambao wanaogopa kununua VPN kwa mareseller wetu wakijua labda hela yao itaharibika maana wauzaji wengi hawatoi Trial iliyo reliable kumfanya mtu aamini, mfano wewe mwenyewe ulikuwa hauamini kama kitu kama hiki kipo possible ndo maana ukaomba usernem na passwd kujaribu.Wengi wamenifuata PM niwaelezee maana wamekiri kabisa hawajawai tumia VPN na huwa wanaogopa kujaribu hivo niwape details zaidi nanimewasaidia na wengi watani-support kwa nilichokisema
    [*=center]Kuwapa Hints za Trick wale werevu wa kufikiri jinsi ya ku-edit configuration files na wengi watanishukuru kwa hili japo wanadai hawajafanikiwa na nimewaficha hatua fulani.Lkn nimewapa jibu kuwa hii kitu sijaianzisha mm ni trick hipo ila nimetaka itufikie na sisi wa-Tanzania na namshukuru Mungu kuna watu watatu wamenipigia simu Kuomba niwafundishe kati ya hao mmoja alifanikiwa na kosa nililolifanya sikutaka kumuulizia JF ID yake vinginevyo akiyaona haya maneno hatajitaja mwenyewe na mm kuthibitisha hilo naandaa Video siku zijazo kuwathibitishia wale walioshindwa ku-edit by simply copy and Paste na ntawaonesha IP yangu kutoka kwa VPN husika

    SHARING IS CARING
 
jf-screen.PNG
tanga kunani hio

nimetumia nmd na natumia os ya w8.1 32bit

nimejaribu kwa modem ya 42mbps kitu idm kinazidi 1MBps
1arbvnfiag9exavqw38g.png
 
Hakuna sehemu niliyosema sielewi kuConfigure VPN. Ninaweza kuConfigure VPN za halali na za magumashi. Kwa kazi yangu ninayoifanya ninacheza na VPN muda wote.

Kwa sisi ambao ni Cisco Certified popote utakapokwenda sanasana maofisini kwenye kuomba kazi/kuko-Configure networks zao vitu vya kwanza mtu atakavyotaka kuwa na uhakika kama ni kweli unavielewa ni Subnetting na VPN kwasababu ni vitu basic sana kwenye Cisco Certifications. Na in Cisco, mambo yapo practically sana kiasi kwamba hata kwa wale wanaotaka kujifunzia uchochoroni wamewekewa Packet Tracer.

Sikujua kama ni biashara ila hii title yako ipo juu-juu sana na sikupenda ulivyokuwa unawababaisha watu mara nimeifunga kwavile haujaleta feedback mara nilitaka na nyie mpate akili za kutengeneza zenu na kuna mwingine ndiyo nilimuonea huruma kabisa akadai yeye alitoa feedback na bado imegoma.

Huwa sichangiagi kwenye hili Jukwaa siyo kwamba sijui ninajua sana na hauwezi kunidanganya kitu chochote kile kuhusu configuration za networks (zaidi linapokuja kwenye swala la Cisco Routers and Switches) ila ni kwavile kila mtu hawezi kuwa muongeaji wengine inabidi tunyamaze. Ninakumbuka nilichangiaga mara moja kwenye uzi wa Young Master (siku hizi simuoni tena akichangia mara kwa mara kwenye hili jukwaa) alikuwa anaongelea jinsi ya ku-Configure Cisco Router, nilifurahi sana cause ninapenda ku-Configure Cisco Routers and Switches. Ni muda mrefu umepita wa hiyo thread na ninafikiri ilikuwa ni mwaka jana au mwaka huu mwanzoni.
 
hiyo hapo mkuu
 
Attachments

  • vlcsnap-2013-10-02-13h46m31s47.png
    vlcsnap-2013-10-02-13h46m31s47.png
    73.9 KB · Views: 97

Well said kaka!! Maana dah..... Tunasumbuana sana
 
Nimekusoma arifu basi configure hizo Server za VPN BOOK,PeoplesVPN,Kebrum VPN afu attach hapa tuelewe ulichokisema vizuri juu ya configure VPN za magumashi na halali
 
Duuh!simu gani hizo nipe mfano maana ni mm na katecno kangu
May be unambie mifano ya hizo simu afu ntacheki na wadau wangu hapa around

cheki samsung exhibit, kuna htc explorer sema hii ni 14mbps,

kwa tecno unaweZa test at ur own risk m3
 
kilichopo ni kwamba most servers hzo za kuedit zinakataa kbsaa, sijui kama kuna mtu ambaye imekubali.... afu kaka mkubwa katumia server zote kutoka meteorvpn ambayo server zake haziko wazi, wala information zake kwenye internet hzipo, kuna info za resellers tu kama yeye.. kwahyo ni either hawana wanatumia za client zingine ndio maana hawataki kuwa wazi au wanazo za kwao ila site yao na server zao havipo wazi .

kaka kwa ninavyojua kila config zinaenda na certificate yake huwezi edit server za vpn moja ukaeka nyengine bila kuinstall certificate za hio server kwanza je umefanya hivyo?
 
kumbe huyu njunwa ni mdosi,, ndo mana anawafaham vizuri hindi bhai wenzake lol!
 
kaka kwa ninavyojua kila config zinaenda na certificate yake huwezi edit server za vpn moja ukaeka nyengine bila kuinstall certificate za hio server kwanza je umefanya hivyo?

Yeap nimefanya hivyo kaka.... Sema sasa inaload tu muda mrefu sana bila mafanikio yoyote, nimecheza sna na udp port yetu ile bt hakuna kitu then nkabadili nkahamia kwenye server za tcp but still the same thing. Then nkaanza kucheza na hzo vpn zingine kama zilivyo na server zake na certificate zake lakini nnachokipata ni repeatition of the same process over and over again bila kukonect. Mpaka naanza kuhisi huenda hzo server ziko down or it is entirely smthng else.
 
Umewahi kutumia TCP Protocol before this?
Hakikisha server unazo zitumia zimeandikwa UDP 8*
 
Mkuu feedback hii hapa, ila speed kwangu ni ndogo sana sijui hao wengine wamepateje speed kubwa? kama kuna njia nyingine ya kupata speed kubwa basi nifahamishe. vipi hiyo ya 10,000/? je ina speed? 1.png
 
Back
Top Bottom