Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

MKUU NIMESHTUKA KULIONA JINA LANGU HAPO JUU......NAOMBA KUJUA KA NA MIMI NINAHUSIKA KWENYE HAO WATU WALIOKUTUKANA.....MAAANA JAPO ILE INTERNET YAKO ILIKUBALI KWA SIKU MBILI ...KI UKWELI NILITAMBUA SANA MCHANGO WAKO , NDIO MAANA SIKUSITA KUREPLY WITH POSITIVE FEEDBACKS HUKU NIKIWASIHI WATU ..WENGINE WATHUBUTU HATA KUNUNUA VOCHA ZA PD PROXY...WAFAIDI HIZO UNLIMITED ZENU....NATAMBUA SANA UWEPO WAKO NA MCHANGO WAKO:disapointed:
 
Ubovu unatumia nguvu nyingi kushindana na njunwa wamavoko nimekufuatilia tokea mwanzo post zako zote
Hakuna ambaye angefanikiwa kwa kufuata maelezo yangu?mbona wanajiongeza wamefanikiwa
Mbona tutorial niliyotoa awali ya Open VPN iliwagomea baadhi isipokuwa wale waliokuwa wajanja kama elmagnifico ambaye aliamua kutumia Openvpn client
Wewe nshakusoma unafikiri mm ni mtegemezi wa hizi VPN tu na unajaribu kuni-spy work out mkuu or less if its impossible for you give your hands Up usitake kuanza kuniuliza nimeconfigure zipi wakati nimekupa List tayari

elmagnifico mbona poa sana, alifanikisha kutumia openvpn client kwenye 64bit na sio kukonfigure hzo server za vpnbook and peoplesvpn kwakutumia certificates za XTREAMVPN kaka.

Hii ni sehemu ya kuelekezana na kukuzana kifikra pale panapobidi.... me nna mapungufu yangu tena maybe more than you but huwa nafurahia sana nnaposahihishwa to me it is an opportunity to learn something new,
nlichokiona ni kwamba u pressume kuwa UR ALWAYS RIGHT AND WHEN UR RIGHT IT MEANS UR RIGHT.

KAMA NIMEKUKOSEA SAMAHANI KAKA ME BADO SANA TU NNAFURAHI NNAPOKUWA CHALLENGED NAMNA HII INANIAMSHA KIFIKRA KIASI FULANI.
 
Argument yako haiko valid maana hakuna sehemu nimekwambia utumie hizo certificates hiyo ni just addition ambayo wewe inabidi ujiongeze ali hali unajua certificates haziingiliani
 
duh!! me huo muda wakushindana sina kaka, it is a simple question mbona!!!

appart from Xtreamvpn, TG and PDproxy ambazo ni paid..... free vpn ip uliyofanikiwa kuiconfigure na ikawork?

Kasome tutorial tena na ujiulize kwa nn niliweka
  1. Kebrum VPN
  2. Peoples VPN
  3. VPN BOOk

    Inamaanisha hizo nimeshazifanyia kamchezo tayari basi kama una shida na hizo configs sema nikupe utumie
 
MKUU NIMESHTUKA KULIONA JINA LANGU HAPO JUU......NAOMBA KUJUA KA NA MIMI NINAHUSIKA KWENYE HAO WATU WALIOKUTUKANA.....MAAANA JAPO ILE INTERNET YAKO ILIKUBALI KWA SIKU MBILI ...KI UKWELI NILITAMBUA SANA MCHANGO WAKO , NDIO MAANA SIKUSITA KUREPLY WITH POSITIVE FEEDBACKS HUKU NIKIWASIHI WATU ..WENGINE WATHUBUTU HATA KUNUNUA VOCHA ZA PD PROXY...WAFAIDI HIZO UNLIMITED ZENU....NATAMBUA SANA UWEPO WAKO NA MCHANGO WAKO:disapointed:

samahani sikumaanisha ulinitukana nilikutaja just because nilijua unashughulikia tutorial ya Pili
 
Kasome tutorial tena na ujiulize kwa nn niliweka
  1. Kebrum VPN
  2. Peoples VPN
  3. VPN BOOk

    Inamaanisha hizo nimeshazifanyia kamchezo tayari basi kama una shida na hizo configs sema nikupe utumie

just out of curiosity kama umefanikiwa hizo za free kwanin ulishare a paid 1 (XTREAMVPN) na tena ambayo wewe ni RESELLER!!? on top of that ukawadirect watu wapaste servers za kutoka mahali pengine kuja kwenye config zako knowingly kuwa hazita work coz certificates ziko tofauti
 
just out of curiosity kama umefanikiwa hizo za free kwanin ulishare a paid 1 (xtreamvpn) na tena ambayo wewe ni reseller!!? on top of that ukawadirect watu wapaste servers za kutoka mahali pengine kuja kwenye config zako knowingly kuwa hazita work coz certificates ziko tofauti

================================end================================================================
 
Kwa wale ambao bado mnakomaa na TCP protocol
na kukumbusha kuwa lazima uwe na HTTP Header i.e free page ya ISP husika mfano 0.facebook(enzi zile)
na pia lazima uwe na working Proxy ambazo unaweza kuzipata hapa Free Proxy List - Public Proxy Servers (IP PORT) - Hide My Ass! - Custom search #225695
Pia nakukumbusha kuwa TCP protocl port 443(Universal TCP port) is rarely blocked and it will surely work lkn pia waweza jaribu na TCP port 80 iwapo hii utaiona magumashi

Ili uweze kutumia hii kitu fuata hii code na uiweke .ovpn file

Code:
client
proto tcp-client
dev tap
http-proxy 10.1.89.130 8000
http-proxy-retry
http-proxy-timeout 2
http-proxy-option AGENT 'Opera/9.80 (J2ME/MIDP; Opera Mini/528.16 (iPhone; U; CPU iPhone OS 3.0 like Mac OS X; en-us; compatible; Googlebot/870; U; en) Presto/2.4.15'
http-proxy-option EXT1 'X-Online-Host:m.tigo.co.tz'
http-proxy-option EXT2 'Host:m.tigo.co.zt'
remote 205.185.118.190 443
route-method exe
route-delay 2
keepalive 3 15
resolv-retry infinite
nobind
persist-key
persist-tun
ca ca.crt
comp-lzo
verb 3
cipher none
auth-user-pass
tun-mtu 1500
tun-mtu-extra 32
mssfix
 
sigpic428459_7.gif
 
HII KITU YATAKA UELEWA WA HALI YA JUU SANA ..TOKA NIMANZA KUJARIBU KUKONFIGURE ZA KWANGU ZINAGOMA ....YAAAAN:frusty:
 
  • Abloodi,
  • kingsjuma,
  • GHANI,
  • mgeni3,
  • bartholome
  • @farijiel

    Wengine wananiita eti mm tapel na wengine wanasupport kuwa mm tapeli lkn watanzania kwa nn tunakuwa hivi maana mm sielewi

    Mimi nachapa kazi sijalishi maneno mnayosema leo nimewaletea mfano rahisi sana wakutumia server ya TunnelGuru ile ya free maana yule ambaye alifanikiwa leo kanambia imeanza kumzingua na mm nimethibitisha hilo nani megundua server zitakuwa Down
    Lkn jkwa wale ambao hamjafanikiwa na hamkosi kuendelea kusaka Tumieni free server rahisi ya TG

naomb kuulza mkuu,,hv hayo majina hapo juu yameandikw kwa dhumun gan?
 
duh!! me huo muda wakushindana sina kaka, it is a simple question mbona!!!

appart from Xtreamvpn, TG and PDproxy ambazo ni paid..... free vpn ip uliyofanikiwa kuiconfigure na ikawork?

huwa hakuna trick ya vpn isiyokubali kwenye shield vpn komaa na expat, mi nimefanikiwa sema server zangu sio fast sana na zinahitaji ultra surf au client mwengine afananiaye kufanya kazi

kama umepata server zao hao shield ambazo zipo fast nipe.
 
Hizo za Expat shield unatumia na client yao au thru NMD/Open VPN?
Je usernem na passwd inakuwa je?
Maana mm nina ka Shield VPN lkn kananishinda kukatumia emu kacheki kwa chini hapa
ShieldVPN_Final_v7-051620131232
 
HII KITU YATAKA UELEWA WA HALI YA JUU SANA ..TOKA NIMANZA KUJARIBU KUKONFIGURE ZA KWANGU ZINAGOMA ....YAAAAN:frusty:

unatumia server za VPN gani?
Kwanza nakusihi hakikisha config file imepigwa chapa ya UDP 80 japo za kebrum zimepigwa chapa ya DEMO UDP
Pia anza na server laini kama ya TG niliyoweka pale juu maana hizi za free atimes Ping yake inakuwa ndogo sana
 
naomb kuulza mkuu,,hv hayo majina hapo juu yameandikw kwa dhumun gan?

Mkuu hiyo nimekutaja ili utumie Mfano nilioweka maana mbuyu ulianza kama mchicha
yaani utaanza kuandika A,B,C mwisho wa siku utaandika Baba etc
 
Hizo za Expat shield unatumia na client yao au thru NMD/Open VPN?
Je usernem na passwd inakuwa je?
Maana mm nina ka Shield VPN lkn kananishinda kukatumia emu kacheki kwa chini hapa
ShieldVPN_Final_v7-051620131232

sina pc hapa so sitatest ila shield vpn hazitumii username na password ukiona ina user au pass jua hio fake.

natumia client ambayo ni modified, mi pia natoa symbianize member kule since 2011 trick zao za smart na globe zinafanania na bongo
 
Hivi kwa nini watu wanapenda vitu vya bure? At the end of the day utalipa mara kumi ya kutumia kilicho bora. Vibaya vinajitangaza.
 
Hivi kwa nini watu wanapenda vitu vya bure? At the end of the day utalipa mara kumi ya kutumia kilicho bora. Vibaya vinajitangaza.

inategemea unafanya nini

mimi huwa sishauri biashara kutumia net hizi sababu haziaminiki na Zinaweza ingiza hasara kubwa

ila kwa matumizi personal waache watu watumie wengi wanatumia hizi net kudownload moviea na xxx hata net ikimkatikia katkat its ok kwake hapat hasara
 
sina pc hapa so sitatest ila shield vpn hazitumii username na password ukiona ina user au pass jua hio fake.

natumia client ambayo ni modified, mi pia natoa symbianize member kule since 2011 trick zao za smart na globe zinafanania na bongo

itakuwa hiyo hiyo unayotumia
Yaap tricks zao zipo correlated na zetu
Ila hawa wafilipino nao watabe I see ubovu hiyo forum unapata neno moja moja la english ni full kifilipino

Utani-update basi chief ukishaisoma interface yake
 
inategemea unafanya nini

mimi huwa sishauri biashara kutumia net hizi sababu haziaminiki na Zinaweza ingiza hasara kubwa

ila kwa matumizi personal waache watu watumie wengi wanatumia hizi net kudownload moviea na xxx hata net ikimkatikia katkat its ok kwake hapat hasara

Ni kweli kabisa mkuu hata mimi najaribu kuvitumia kwa uoga sana. Hizi vitu yafaa uwe na pc mbili. Moja iwe na Genuine Windows na softwares za trusted publishers ambazo haziko cracked
na hiyo ya pili ndiyo iwe na hizo vitu.
 
Back
Top Bottom