mgeni3
JF-Expert Member
- Jun 4, 2010
- 228
- 63
duh mgen umemshtukizia fasta kam mm haha
huyo alofanikiwa kuweka configure za metor vpn kwa server za book vpn na wenzake ajitokeze japo kwa pm ntamlipa mimi kwa setting tu,, me situmii hii nataka kuprove ki2 tu.
To prove kama itawork or not.... Ziache the same servers hzo hzo za jamaa ila badili hzo certificates kutoka mayb peoplesVPN afu kafanye ikareplace kwenye hzo za kwenye configurations za msela.. Haiwezi kumalizia connection hata ufanyaje coz different servers different certificates. Kwahyo kutaka kulogin servers za peoplesVPN kupitia meteorVPN certificates ni kitu ambayo haipo hapo... Mayb kuna step imeachwa hapo kuhusu kuandaa certificates pia