Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
Kuna Wajanja watakuwa bado wanateleza tu
Iyo mitelezo tupeane jamani, sie ni ndugu watoto wa baba mmoja kambarage
Kuna Wajanja watakuwa bado wanateleza tu
Huu ni uzi wa mwaka 2013 na hizo njia hazifanyi kazi tenaYaani kiukweli mm nimeshindwa asee kiongozi kama kuna uwezekano nikufuate pm unisaidie maelekezo zaidi maana nimefuata link zote lkn kufaulu hakuna
zinazofanya kazi ni zipi..?Huu ni uzi wa mwaka 2013 na hizo njia hazifanyi kazi tena
Mkuu vp hii kitu bado Ipo?OPENVPN Connect For ANDROID
(non Rooted or Rooted / also works for iOS)
Requirements:
1. Android OS 4.0 or later
2. Openvpn Connect APK
3. Openvpn Connect Configs
1. Download Openvpn Connect on Google Play Store.
Alternatively you can download it here:
Openvpn Connect APK
ES File Explorer APK - Android file manager
Meteor vpn configs- Meteor VPN config for Openvpn Connect
2. Install Openvpn Connect and ES File Explorer to your Phone
3. Extract Openvpn Connect (using ES file explorer) to your SD Card root Directory (/sdcard/Openvpn Connect)
4. Open Openvpn Connect
5. IMPORT a profile from your SD Card![]()
![]()
![]()
You can import many profiles and create a shortcut to your home screen
6. Input your username and password and press CONNECT![]()
7. Once successfully connected a similar window will appear
Note: Active internet connection is still required to connect to the Meteor VPN server. Make sure your connected to WiFi or your local 3G/4G Network.![]()
Openvpn Connect Doesnt work with custom LPORT configuration because it needs to bind the local tun interface which requires ROOT access of the phone. Please use the next method if you wanted a working custom LPORT configuration (requires root).
BROUGHT TO YOU BY METEOR VPN TEAM
SINCE 2013
0753932250
zinazofanya kazi ni zipi..?
Naomba unitumue basi hio use name na password pm Mkuuimekubari lakini nimetumia software tofauti na ulizoweka hapo ni openvpn-client.msi username na password ni ile uliyonipa tnx mkuuView attachment 113514View attachment 113517
Naomba unitumue use name na password pm MkuuShare umetumia TOOL Gani?
zakulipia zipi?Ni zile za kulipia tu mkuu.
😀😀😀 Uzi wa wa mwaka 2013 wewe ulikuwa wapi? Wakati wenzio tunapiga kitongaNaomba unitumue basi hio use name na password pm Mkuu
Duh Kumbe kitu kishakuwa zilipendwa😀😀😀 Uzi wa wa mwaka 2013 wewe ulikuwa wapi? Wakati wenzio tunapiga kitonga
Hii mambo tuliinjoy sana miaka hiyo, nimekumbuka 'huawei ideos'SO AMNA TENA FREE INTERNET NJUNWA STYLE?????
Mkuu umekikumbusha, daa 10 years ago kweli siku hazigandi. Yani niliifaidi na maisha yalikuwa mazuri miaka hiyo sikuwa na majukumu. Nlidownload movies, games hadi pc, external vikajaa nikawa hata sina cha kudownload yani natafuta nidownload nini sina.hichi kitonga kilikuwa moto.....siku hazigandi
Bado kinafanya kazi??hichi kitonga kilikuwa moto.....siku hazigandi