free internet 1month 5000/=

free internet 1month 5000/=

9d853e6fa4efcf77b16bfd021eb7d15c.jpg
Bora niendelee na bundle yangu.
 
ila huyu jamaa anaweza kuwa tapeli kbs nimefuatilia maelezo yake nikamcheck PM .
Akaniambia elfu 8 etii imepanda ,mara nitume pesa kbl ya kazi ? ili niibiwe kiurahisi .
Wakati ndugu zetu kina Pawaga huwa wanapiga kazi ukiona imefanya vyema unalipa .
Nimeona nitupie screenshot km uthibitisho .View attachment 693816 kuna watu wengine ni wezi humu ndani .
Etii elfu 5 mara imepanda ndo kumwambia bazi niunge oo kuna pesa kidogo natakiwa niweke kwenye ACC yako ili utumie unlimited internet .
Nikaona HUU NI WIZI .
Aiseee asante mkuu kwa kutufahamisha
 
hii huduma ipo nalishawahi itumia labda tu jamaa aamue kuwabania manake wengine watageuza tangazo mwisho wa siku dili linabumbuluka wabongo hawana dogo
 
Back
Top Bottom