free internet 1month 5000/=

free internet 1month 5000/=

Unajua haya makampuni ya simu yanatuibia sana pesa zetu... So si vibaya ukaweka ujuzi wa kupata hayo makitu kufidia pesa tukizoibiwa na tunazoibiwa na hayo makampuni ya simu
Hayo makampuni hawazijui platform kama hizi,huwa hawapitii..so wakiona wataacha tu hivyo hivyo
 
Unajua haya makampuni ya simu yanatuibia sana pesa zetu... So si vibaya ukaweka ujuzi wa kupata hayo makitu kufidia pesa tukizoibiwa na tunazoibiwa na hayo makampuni ya simu
Kumbuka hayo makampuni yapo huku kwenye mitandao, so kila atachoweka lazma na wao wakaki undo
 
Unajua haya makampuni ya simu yanatuibia sana pesa zetu... So si vibaya ukaweka ujuzi wa kupata hayo makitu kufidia pesa tukizoibiwa na tunazoibiwa na hayo makampuni ya simu
Mzee wa kuweka mzigo na huku upo?
 
Sina hamu nahawa jamaa mwezi wa kwanza mwaka huu nimeibiwa 20,000/= ya tangazo kama hili jamaa aliweka tangazo kama hili nikamtafuta akasema tuma pesa nikupe Huduma nikatuma hiyo pesa hakupatikana tena hewani wakuu
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom