samalanga
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 336
- 245
Pole mkuu Hata Mimi nilishawahi Piga 7000,sasa yupo Jamaa wa uhakika unapata dk 1400 mitandao yote kwa mwezi kwa 7000 ukihitaji nakupa namba Mimi kaniunga na inapiga kazi.ni pm Nikupe nambazake.Sina hamu nahawa jamaa mwezi wa kwanza mwaka huu nimeibiwa 20,000/= ya tangazo kama hili jamaa aliweka tangazo kama hili nikamtafuta akasema tuma pesa nikupe Huduma nikatuma hiyo pesa hakupatikana tena hewani wakuu

