wadau eeeh kila nikijaribu kudownload video za youtube inazingua tangu majuzi kwa idm, au njia zinagoma. nahisi youtube wamebadili mfumo wao wa videos, kama kuna anayejua njia mpya
update idm install version mpya. mi idm yangu iligoma pia nkaenda kat nkainstall latest (ipo homepage skumbuki version) sasa hivo mambo fresh tu
wadau eeeh kila nikijaribu kudownload video za youtube inazingua tangu majuzi kwa idm, au njia zinagoma. nahisi youtube wamebadili mfumo wao wa videos, kama kuna anayejua njia mpya
kuna kaprogram fulani kazuri sana kanaitwa ilivid; kukainstall unaenda kwanza kwenye site inaitwa getvid. ni kazuri sana si complicated kabisa. ukiwa hapo kwenye getvid katajitokeza unakaistall mengine computer itakuelekeza. mi natumia hako hadi disk inataka kujaa video sasa. unashusha tani yako!
mkuu upo aware kwamba ilivid ni malware? ukiona pc inabehave visivyo ujue ni yeye