Free Beer Tomorrow

Free Beer Tomorrow

Tomorrow mpaka kiama, haifiki hiyo. Ukija kesho unakuta tena njoo kesho.
 
Kuna sehem kuna raha yan iyo ikitokea Tz cjui itakuaje mana kuna.meng yatatokea kwa ajil ya vya bureee
 
Hilo Tangazo, maana yake ni hakuna cha bure... Ukija kesho litakuwa linasema hivyo hivyo, itabidi ungoje kesho, kesho haifiki...
 
Iyeeeh. ...
Halafuu... huo mkaka anikodolesha tuu, mvwire hivi...."Kasie hena shida ya matundu. ..." mkedhije sana
Yeton Wee mwana [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Ni kweri Umuenda huyu mwana khanaa...?
 
tomorrow will never come..../ very good buz tricks..../
kesho itakuwa kesho itakuwa kesho... babake...
Mkuu ww umemaliza ubishi na mkaribishaji akisoma mchango wako bango atatoa. Kesho isiyokuwa na tarehe haijazaliwa
 
Huyo Jamaa tulikua nae chuo Fulani yupo moshi hapo alikua free beer akatulia kuipimia
 
Back
Top Bottom