Napenda nikujuze kuwa Mseto ule ni wa Znz kwa Znz na wala hauwezi kabisa kuhusisha wa Tanganyika. Mseto ule umewekwa kwa ajili ya maslahi ya Znz na kwa waZanzibar. na wala si kwa WaTanganyika.
Lakini hapa kinachoongelewa ni Muungano na uhuru wa Znz kujikomboa dhidi ya Tanzania.
mimi hapo nipo njia panda kumbe kuna mume na mke kwenye mungano !
mkuu, nafikiri ukweli upo dhahiri kwamba hatujawahi kuichagua CCM. CCM daima huwa inajichagua na kujiweka madarakani yenyewe. Na wala sisi hatuogopi washawasha. Sisi si waoga kama wabara, sisi kufa kwetu ni tunu mbele za mungu hasa tunapokufa kwa ajili ya ukombozi wa wengi.
Mume zenj na mbuguma Tg!
Maana mara nyingi mume anakuwa ana mwili mdogo na mke anakuwa mnene mnene!
kwani wAZanzibari wakija Tanganyika kuchukua Vitunguu na Harage na vitu vyengine munawapa bure for free? Duh :smash:Tupa kule hiyo zanzibar yao, kwani sisi tunafaidika nini,hao wanaongea ila hawajui kwamba hata mchicha wanaokula kule unatoka huku.kila kitu, nyama ya ng'ombe, na vingine vingi tu.hata sisi hatuwataki cause walioanzisha muungano waliua tanganyika yetu nzuri.
wewe ni msomali nini???
Jana tumeshuhudia kuzaliwa kwa taifa jipya la Sudan kusini, baada ya harakati za muda mrefu za mapambano ya kutafuta kuwa huru dhidi ya Sudani ya kaskazini. Hili ni somo mhimu sana kwetu wazanzibari ambaye kwa muda mrefu tumeishi kwa kuamliwa mambo na watanganyika.
Umasikini wa Zanzibar kwa kiasi kikubwa umesababishwa na wabara ambao wamekuwa na mipango mibovu na wala rushwa halafu wanahamishia mipango yao ya hovyohovyo kule kwetu zanzibar na kutusababishia umasikini mkubwa na hali ngumu ya maisha.
Wazanzibar tuko wachache, kipato chetu kinatosha kutulisha sisi wote na kutuhakikishia maisha yenye neema, lakini kutokana na Muungano, kipato chetu tunashare na wabara, halafu gawiwo tunalopata linakuwa dogo na kutufanya tuonekane na sisi ni maskini kama walivyo wa bara.
Sasa tunataka uhuru wetu, tunataka tujitawale, hatutaki kupangiwa mambo na wabara. Seriously we are going for it.
-kwani huoni zenj inavyopelekesha kama gari bovu!
Na taarabu jee! si wanacheza siku hizi, niliona kule Mwanza (kwenye manumbu- vile viazi kama kichwa cha mtu) Utamaduni wa Kizenj- Alhamdu lillah mpaka Sengerema siku hizi. Bado tu Muungano haujakusadaidieni nyie? N'gan'ganieni!!!!!wabara bwana tokea kujua kupika maandazi na chapati imekuwa balaa... mushkuru sana zanzibar nyie mngeendelea kuna dona kama farasi shwain
-
Lazima ipelekeshe. Mwenye woga wa kuvunja Muungano Ni Tanganyika na siyo Zanzibar.Kwanza Tanganyika itabidi itoe fidia kwa Zenj(Sijui kama wanayo hiyo). Pili Tanganyika itabidi ijiunde ipya (Hiyo ni kazi ambapo Zenj hawana tatizo na hilo- wana mundo wao - bendera., Rais, Baraza la wawakilishi- mpaka timu yake ya mpira)- kazi kwa bara wanacho kilicho chao ambacho ni si cha Kimuungano. Digest this first-- coming later!!!!