Fredrick Sumaye unajidhalilisha sana kwa Lowassa

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,055
Reaction score
16,509
Yani wewe ulikua boss wa lowasa,leo unamsujudu yeye.
Dah!kweli maisha hayana usawa kabisa.angalia wenzio wakina malechela,warioba,msuya na hata pinda..wako kimya wanacheza na vijukuu vyao tu hadi raha.
 
nina wasiwasi na shule yako-sasa hapa umesema nini?? wangapi walikuwa juu ya OBAMA na leo yuko juu yao-mutuhurumie kupitia thead kama hizi mwaweza tupa stress!!!!!!
 
Mgombea Urais kwa tiketi ya chadema anavyosema atapambana na maradhi ya UJINGA ni kama haya ya mleta mada
 
Yani wewe ulikua boss wa lowasa,leo unamsujudu yeye.
Dah!kweli maisha hayana usawa kabisa.angalia wenzio wakina malechela,warioba,msuya na hata pinda..wako kimya wanacheza na vijukuu vyao tu hadi raha.

Hilo ni jukwaa la kampeni kwa hiyo hakuna cha ajabu cuz kila mtu huwa ana nafasi yake.
 
tang'ana rudi tu jukwaa la MMU huku hapakufai dogo!
 
Last edited by a moderator:
Ka nakuelewa vile, yani maprofesa au tusema marais hawakusomishwa na walimu wa shule za misingi.
 
Yani wewe ulikua boss wa lowasa,leo unamsujudu yeye.
Dah!kweli maisha hayana usawa kabisa.angalia wenzio wakina malechela,warioba,msuya na hata pinda..wako kimya wanacheza na vijukuu vyao tu hadi raha.
Kwani unadhani Sumaye anauwezo hata wa kutafakari kwa kina mtu ambaye kwenye uongozi wake wote kahurumiwa tu na mzee mkapa vinginevyo asingefika kokote.
 
Yani wewe ulikua boss wa lowasa,leo unamsujudu yeye.
Dah!kweli maisha hayana usawa kabisa.angalia wenzio wakina malechela,warioba,msuya na hata pinda..wako kimya wanacheza na vijukuu vyao tu hadi raha.

Warioba yupo kimya!! Nadhani haupo serious
 
Ameamua kufanya reverse ya hovyo kabisa katika maisha
 
Yani wewe ulikua boss wa lowasa,leo unamsujudu yeye.
Dah!kweli maisha hayana usawa kabisa.angalia wenzio wakina malechela,warioba,msuya na hata pinda..wako kimya wanacheza na vijukuu vyao tu hadi raha.

Kwa hiyo Mkapa, Mwinyi na wazee wengine wa ccm wanajidhalilisha kwa Magufuli hata uwaziri mkuu hakuwa kuupata!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom