Fredrick Sumaye unajidhalilisha sana kwa Lowassa

Fredrick Sumaye unajidhalilisha sana kwa Lowassa

Kwa Lowassa ameufyata. Yaani amekuwa kama kambwa kanakomfuata bwana. Mpaka inasikitisha. Sijui naye anategemea atapewa cheo gani. Waziri mkuu mbovu kabisa ambaye tumeshawahi kuwa naye. May be anaogopa kunyang'anywa mashamba yake aliyopora. Uchu wa madaraka ni shiiiiidah!
 
Yani wewe ulikua boss wa lowasa,leo unamsujudu yeye.
Dah!kweli maisha hayana usawa kabisa.angalia wenzio wakina malechela,warioba,msuya na hata pinda..wako kimya wanacheza na vijukuu vyao tu hadi raha.

Huyo Warioba alifata nn Mara?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom