Fredrick Sumaye kurejea CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fredrick Sumaye kurejea CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Robethn, Sep 20, 2015.

 1. R

  Robethn JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2015
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 2,104
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumekuwa na kila dalili ya waziri mkuu mstafu ndg Sumaye kurejea CCM, mara baada ya uchaguzi mkuu mwezi ujao, ikiwa ni kutokana na uhakika ambao amekuwa akiusema kwenye mikutano yake kwamba uwepo wake Ukawa ni kwa ajili ya kuimarisha upinzani na sio kushika dola.

  Watu wake wa karibu wamesema kiongozi huyo bado amekuwa na wakati mgumu katika kuchagua chama atakachojiunga japo awali viongozi wa ukawa walimwambia ajiunge na NCCR Mageuzi, hiyo imekuwa ni kutokana na halihalisi anayoiona katika umoja huo ambao unakabiliwa na migogoro kilapande,pamoja na viongozi wake wengi kuwa na ubinafsi badala ya kuangalia maslahi mapana ya taifa.

  Mzee Sumaye mara baada ya uchaguzi anaweza kurudi CCM kwa sababu mpaka sasa amekili hatajiunga na chama chochote kipya cha siasa.Hii inathibitisha kuwa pamoja na kuwa msimamizi mkuu wa kampeni za mgombea urais kupitia Ukawa hana uhakika wa kushinda.
   
 2. Ocampo four

  Ocampo four JF Senior Expert Member

  #2
  Sep 20, 2015
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 5,791
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tukutane tarehe 25.10.2015
   
 3. Lussadam

  Lussadam JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2015
  Joined: Oct 13, 2007
  Messages: 1,109
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  M.A.V.I. matupu, nenda K.A.N.Y.E.
   
 4. R

  Robethn JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2015
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 2,104
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama anauhakika wa kushinda,kwa nini asijiunge na chama chochote, acheni kutumia matope.
   
 5. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2015
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,216
  Likes Received: 294
  Trophy Points: 180
  ha ha ha usitukumbushe kilichotokea stend ya chato
   
 6. Z

  Zanzibar-ASP JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2015
  Joined: Nov 28, 2013
  Messages: 4,547
  Likes Received: 7,245
  Trophy Points: 280
  CCM endeleeni tu kujifariji hivyo hivyo, hata Lowassa atarejea pia CCM baada ya kushinda urais 25/October. Pia Lipumba atarejea CUF baada ya Maalim Seif kushinda urais wa Zanzibar mwaka huu.
   
 7. R

  Robethn JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2015
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 2,104
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Amekwenda kuimarisha upinzani wakati ndo unazidi kuzorota kila leo
   
 8. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2015
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,711
  Likes Received: 5,591
  Trophy Points: 280
  Mods...JF siku hizi mmeachia watoto wa div 5, hawajaenda jando, wananuka masaburi, wachafu, wanaharibu reputation ya miaka mliojijengea...

  Piga ban huyu pumbavu kabisa.. shit..!!!

  This is shit...!!!
   
 9. R

  Robethn JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2015
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 2,104
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huo ndo ukweli, Sumaye ni mpiga dili, kapewa feza kaona achukue then anakimbia, why mpaka sasa hajachukua maamuzi ya kujiunga na chadema au NCCR
   
 10. Z

  Zanzibar-ASP JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2015
  Joined: Nov 28, 2013
  Messages: 4,547
  Likes Received: 7,245
  Trophy Points: 280
  Vijana wa CCM mitandaoni wamekata tamaa kabisa, kilichobaki kwao ni kuzusha ujinga ili kujipa faraja hewa.
   
 11. R

  Robethn JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2015
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 2,104
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari ndo hiyo, Magufuli hongera sana,upinzani umemezwa na mafisadi wajanja.
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2015
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,534
  Likes Received: 1,542
  Trophy Points: 280
  We kweli mavi
   
 13. Jidu La Mabambasi

  Jidu La Mabambasi JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2015
  Joined: Oct 20, 2014
  Messages: 3,740
  Likes Received: 2,386
  Trophy Points: 280
  Mkuu usiongee u.tumbo , huko CCM unafikiri nani atampokea?
  Ukisha kuwa makapi hata kwenye dustbin ya CCM Sumaye atakuwa hafai!
  Heri abaki huku huku kwetu.
   
 14. R

  Robethn JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2015
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 2,104
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Vijana wa ukiwa matusi hayasaidii jengeni hoja, kweli nayi tunamashaka na elimu zenu.
   
 15. Kaptula la Marx

  Kaptula la Marx JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2015
  Joined: May 10, 2015
  Messages: 985
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  CCM endeleeni tu kujifariji hivyo hivyo, hata Lowassa atarejea pia CCM baada ya kushinda urais 25/October. Pia Lipumba atarejea CUF baada ya Maalim Seif kushinda urais wa Zanzibar mwaka huu.
   
 16. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2015
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,991
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  we jamaa ni muongo sana uko ka lu******r!
   
 17. rehanishabani

  rehanishabani JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2015
  Joined: Aug 28, 2013
  Messages: 319
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Duh!!tamthilia tamu kuliko isidingo!
   
 18. m

  makuhaba JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2015
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 231
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukirudia kutuma post km hizi nitakutukana tusi ambalo hujawahi lickia
   
 19. m

  makuhaba JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2015
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 231
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawa lumumba hawana nguvu mitandaoni,walianza kwa mbwe mbwe zote zimeisha
   
 20. T

  Tob0001 JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2015
  Joined: Jul 26, 2015
  Messages: 333
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukapime akl mleta uz
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...